Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Mungu awapokee ktk makao yake ya milele!!
Pole sana...
Mbona mmempost mmoja tu na walikufa kadhaa? Au ndio kila mmoja mtampostia uzi wake?
Viberenge vipo vya aina tofauti, vingine ni vikubwa kiasi na huwa vizito.Mungu awapokee ktk makao yake ya milele!!
Japo hii ajali inanipa wakati mgumu Sana maana uzebe huu wao marehemu hawakuhusika? Ilikuaje watumie njia kwa kiberenge wakati wanafahamu njia inatumika na Treni wakati huo?
Walishindaje kujitupa kutoka kwenye kiberenge? Maana huku kwetu TAZARA viberenge vyake Ni vidogo na km Kuna treni mnaweza kukitoa relini na Treni kubwa ikapita,
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Doh..na kwa Mambo yetu sijui familia zitaachajweViberenge vipo vya aina tofauti, vingine ni vikubwa kiasi na huwa vizito.
Inasemwa kuna mabehewa ya mizigo yalianguka sehemu moja huko Tanga siku ya alhamisi.
Mafundi walifanya kazi yao na kuyainua na kuyaweka tena kwenye njia yake (reli). Baada ya kuyaweka baadhi ya mabehewa yakaanza kurudi nyuma (kutembea yenyewe sababu ya slope).
Kumbe muda huo kulikuwa na maofisa wengine wanakuja eneo la tukio kwa kiberenge, kabla hawajafika ndio wakagongana na hayo mabehewa yaliyokuwa yana tembea yenyewe.
Nafikiri itakuwa ilikuwa ni eneo lenye kona, wakashidwa kuona nini kinakuja mbele yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimeshangaa hao wengine hawakuwa mashujaa?
Viberenge vipo vya aina tofauti, vingine ni vikubwa kiasi na huwa vizito.