Yaani wewe uhakikishe mtoto ni wa rafiki yako bila mke wake kujua kweli??? Yanakuhusu nini? Kwa mfano,,, huyo jamaa akagombana na mke wake kwa unafiki wako we utapata faida gani??? Kuna watu mna roho mbaya sana aisee,,,
Ninachokiona hata mtoa mada ni wale wale tu..huwezi kutongoza mke wa mtu kama na wewe una wako afu ujiulize amekosa nini kwa mmewe.au kwa sababu na yeye hawezi Kuja kusema huku,,,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.