Hii barabara haikamiliki hata kidogo, kibaya zaidi wanajenga na kuchimba mashimo makubwa
Kibaya zaidi baadhi ya vijipande wameminya njia na rest zinatengenezwa kama Garden na kuwekwa peving?
In fact barabara mwenge Tegeta mwenge hadi mawasiliano (Sam Nujoma) ni chaka la upigaji kinachofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.