Recent content by KimpaGhasha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Fanya hivo kiongozi, ingekuwa vzuri na hapo dukan unamuacha mtu.. nahuko mtaani pia unawadirect hapo dukan ili wajue dukan kwako pia
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Nani kasema?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Emu acha hizo bhana, unajua ni nn alichokimaanisha, emu watanzania tuache kujifanya wajuzi wa mambo na hatuhitaji msaada isipokuwa akili zetu. Hata kama una uhakika wa jambo kwa 90% omba ushauri kwa watu uangalie upande mwingine ambao huenda akili Yako haikuwaza kwa wakati huo. Wengi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 46M faida 540,000, pia mtaji wa 45M faida 576,000

    Nikweli faida ni ndogo, Ila kama huna nyingine endelea kufanya hiyo mpk upate nyingine
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    Ndugu, kama huyu jamaa aliyoyaandika nikweli yanamuhusu ww hukupaswa kuandika hivi, Maana hata kama ikiwa nikweli anao usikute ukaanza kuandikiwa wewe hiyo R.I.P kabla yake
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    Sio kila anaeumwa mkanda wa jeshi ana vvu kiongozi, Nawengine hawaumwi huo mkanda ila wanao
  7. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    We unatarajia Genta nondo azitoe wapi?,
  8. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Hoja hujibiwa kwa hoja, Sasa nonsensical and absolutely rubbish tayari umemaliza!??
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Hakuna mahala cdf amesema Kuna watu walitaka rais Samia asiapishwe, Bali alisema kulikuwa na mvutano wa wakati Gani aapishwe eidha baada au kabla ya mazishi, Acha unafiki
  10. K

    JamiiForums Tanzania Majibu sahihi ya swali la msingi "nifanye biashara gani?"

    Napoleon, Umeandika huu Uzi wakati sahihi sana kwangu, Niko kwenye huu mchakato na nipo tatafuta A,B,C mbalimbali za namna ya kuingia kwenye business Nimefanya business na kufeli mara 3, safari hii nataka niingie kivingine, Asante mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msanii wa Bongo Movie, Batuli lamkuta jambo, augua ghafla na kukimbizwa hospitalini

    Acha wivu mama mdogo, Acha kuchafua mtu poa, Kama Kuna sehemu kakushinda jiulize amekushindaje sio kuleta vimaneno visivyo na maana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Siamini kama nimepatwa na kukoroma

    We ni jinsia Gani?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (operator wa loader na excavator)

    Ungekuwa na uzoefu kwenye excavator au wheel loader ningekuunganisha fasta
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Sasa hapa ndo umeeleza nin kiongozi au ulikuwa hujamalizia ikajipost kwa bahati mbaya?
Back
Top Bottom