By W. J. Malecela
- Matokeo ya Chaguzi za leo Taifa zima ni CCM Kata 24 Chadema 3, Kata zote zilikuwa 27 kabla ya uchaguzi wa leo Chadema walikuwa na Kata 4 leo wameptoza I,
- Nafikiri kwa mwenye akili hahitaji kuambiwa ona au sikia ujumbe ni mzito sana hapo kwamba Helikopta hazikusaidia na...
Msandooooooooooooooooooooooooo ooo! Ndiye wakili maarufu kwa sasa Tanzania. Kuwabwaga mawakili wawili maarufu Kibwatala na Tundu Lissu si suala la mchezo
TULIA WEWE MAMA ACHA KELELE , LISU ALISHAONA MBALI SANA ALISHATANGAZA ZZ ATAENDELEA KUWA MBUNGE NA MWANACHAMA WA CDM KWA SABABU YA MAHAKAMA...
Unafiki wa ccm ni huu kabla ya kifo cha baba yetu mzee dr waziri wa pesa, ccm walisema ni miongoni mwa mawaziri mizigo baada ya kifo tumepoteza mtu muhimu sana??? Connect ze dot, then kajipange uje na majibu acha kuangalia cdm wanafanya nini yako ya kuvua gamba yaliishia wapi cdm inafanya kweli...
By kennedy
zzk kwisha habari yake akaungane na hamadi rashidi, david kafulila sasa,, :flame:Mkuu wakiungana hao watashindwana kila mtu anataka uwenyekiti hahahahaa hatareeee!!!
inaelekea ni mzuri sana kwa mipasho huoni MM alivyojidhalilisha anapigwa chini anavimba juu yeye anamshambulia TL au AM?? unaulizwa swali na mtu humjibu unaanza kutoa mipasho kama uliyajua hayo tangu 2005 ukawa kimya si ni un.....fiki!
Tujikumbushe 2010 MM aliporomoka sana jaribu kuangalia kura zilizopigwa jimboni ni 47309,mgombea wa CCM alipata kura 18416 na MM alipata 23000 kwa huyo wanayemuita shujaa anajua khali ilivyo si kweli kwamba anatakiwa kigoma kiivyo hata yeye analitambua hilo ndo maana anaona hawezi kugombea tene...
Kwanza nianze na kukupapole kwa yanayoendelea juu yako ni upepotu yatapita, Naomba ujulishe umma wa watanzania ambao tunanianjema yakusikia kauli ya PAC ieleweke Tanesco ipo Chini ya PAC je PAC mmebariki bei hiyo?? Tunaomba uje humu utujibu nasikia umesafiri kidogo ukiwa hukohuko Ukerewe...
Nionavyo: Hawa Kina Mkumbo na Mwigamba wanamlinda ZZK kwa maslahi kwani ndiyo anayepewa mlungula na kuwagawia wao inabidi wamlinde sana kwani ili aendelee kuwalisha kwani fedha inayotoka Lumumba inapitia kwake, Pia kwa wao kung'anga'ania chama ni ili wazidi kuvuruga, nimemsikiliza ZZK jana...
Mwigamba, Umejidhaliliasha sana yani nakumbuka ule utani wa mmasai mahakamani anajitetea kwa kusema wakati unanikamata nilikuwa nimevaa nguo gani? Nyeusi? Mh Hakimu nilikuwa nimevaa Nyekundu !! Akidhani kuwa akijitetea hivyo atashinda kesi kumbe na wewe Mwigamba unajidhalilisha kwa kusema waraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.