Recent content by kimondo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wenye mpango wa kwenda huu mji chukueni tahadhari

    Hicho ni Kijiji cha Wavuvi wa Pemba cha Tanga, barabara ya kwenda Mombasa.Pia ni maarfu kw uzalishaji wa Chumvi ndamaana pakaitwa Chumvini
  2. K

    JamiiForums Tanzania Haya matunda yanaitwaje kwa lugha ya kwenu?

    Yanaitwa Sambia, yanapatikana Lushoto hususan Soni
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mamia wamimika nyumbani kwa Bakhresa kuchukua pesa!!!

    Watu waleta habari wa namna hii wasipewe nafasi ktk mitandao ni wafinyu wa fikra hakuna hoja hapa yenye value addition
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu afunguka: Muislamu 'khamsa-swalawat'

    Mwenyeji wa Mkoa gani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

    Akivaga (Mkenya) enzi za DUSO
  6. K

    JamiiForums Tanzania Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Iwee! Anakingunguru
  7. K

    JamiiForums Tanzania NENO: Nakulaga, nakimbiaga, nachekaga, nipo bajajini Ni sahihi?

    Kanda ya ziwa Victoria
  8. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo amekengeuka!

    Mnachezeshwa ngoma msiyoijua na mfanyabiashara mashuhuri hapa nchini bila kujua.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti Mwananchi hovyo kabisa

    Haya wanayoshabikia hapa kwetu wakayafanyie nchini kwao waone muziki wape. Wawekezaji namna hii ni wakuchukuliwa tahadhari
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuwaingiza rasmi CUF na NCCR Serikali Kivuli Bungeni

    Kwani sio Wa Liberali tena? Ama kweli siasa ni akili mukichwa. Tutashuhudia mengi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Sita amshitakia Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda

    Na mawazo yenu ya kitoto hayo myamalize hukohuko kijweni. Hamjui General majukumu yake, ungeyajua wala usingethubutu kumtaja wala kum-discuss. Inaelekea wewe ni kinda usiyefahamu mwelekeo wa Dunia. Wewe endelea kulelewa kwa Shemeji yako hapa mjini. Nahisi ni LGBTs wewe.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Sio Adabu kuwatukana Nyerere na Karume

    Hamjui Historia ya nchi hii. Ni utoto unawasumbua vinginevyo msingeshabikia uharo huo uliomwagwa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ugatuzi

    Ni kupeleka madaraka ktk ngazi ya chini mfano wilayani, halmashauri,kata, mitaa, vitongoji na kijiji
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yaani na tanzania nayo ipo!

    Watu kama wewe lazima utakuwa mwenye asili ya nchi jirani
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kenya, Rwanda and Uganda (COW) waendelea kutangaza miradi ya maendeleo bila ya Tanzania na Burundi

    Kama ungewajua vizuri usingediriki kuwalamba miguu kihivyo. Soma history vizuri uone familia yake ilivyokwapua Ardhi yenye rutuba na kuwaacha raia wake watupu waiiimezea mate ardhi yetu
Back
Top Bottom