Niliwahi sema humu mwananchi linakoelekea litakuwa gazeti la udaku na pengine la kisiasa kama uhuru na tz daima. Leo katika toleo lake limetoka na kichwa cha habari"katiba mpya shakani" point yao kuwa ukawa kujitoa. Ukisoma wamepiga porojo tu ndani hakuna uchambuzi wa kina kivipi theluthi mbili hazipatikani bila ukawa kuwepo. Wanasema ccm walitegemea wajumbe 16 toka ukawa ili wapitishe. Hawaelezi theluthi mbili wajumbe wangapi toka 629 jumla. Na ukawa wako 190. Mwananchi tunzeni heshima yenu mnapoteza mweleko la sivyo mjitangaze nanyi ni kama uhuru na taz daima. Nyuma mlitoka pia sita apata pigo kuwa hati ya muungano hakuna hakuna muungano kwa kubeba maneno ya tindu lissu, je mlikwenda mamlaka husika kujua hamkwenda hati imetoka taarifa yake mumeificha. Mwananchi rudini kwa mstari mnapotea mumekuwa gazeti la ushabiki zaidi kwa sasa na kuacha kufanya tafiti kwa habari zenu. Mhariri mwananchi upo au haupo. Au mnaongozwa na mmiliki wenu huyo mkenya.

Mkuu kwani hujui kuwa mwananchi linatumiwa siku hizi na wanasiasa?
KIBE, wahenga walisema "No research no right to speak" Rejea kwenye sherpa ya marekebisho ya Katiba, ndiyo use kubwabwaja hap a. Shida ya wengi mlioko CCM hamuwezi kusoma, mlichozoea ni vya kunyonga na vyya kuchinja ..... mmezoea kuishi kwa uongo na kusema ukweli hamuwezi tena......
Una hasira kweli. Ni tatizo la kuongozwa na misimamo ya kimakundi. Chombo cha habari kidipoandika unayotaka kusikia kinahukumiwa kuwa hakifai. Tumeyasikia kwa makundi yote - CHADEMA, CCM, wanaharakati n.k. Fanya urafiki kidogo tu ujue mantiki ya Makalla hayo.Niliwahi sema humu mwananchi linakoelekea litakuwa gazeti la udaku na pengine la kisiasa kama uhuru na tz daima. Leo katika toleo lake limetoka na kichwa cha habari"katiba mpya shakani" point yao kuwa ukawa kujitoa. Ukisoma wamepiga porojo tu ndani hakuna uchambuzi wa kina kivipi theluthi mbili hazipatikani bila ukawa kuwepo. Wanasema ccm walitegemea wajumbe 16 toka ukawa ili wapitishe. Hawaelezi theluthi mbili wajumbe wangapi toka 629 jumla. Na ukawa wako 190. Mwananchi tunzeni heshima yenu mnapoteza mweleko la sivyo mjitangaze nanyi ni kama uhuru na taz daima. Nyuma mlitoka pia sita apata pigo kuwa hati ya muungano hakuna hakuna muungano kwa kubeba maneno ya tindu lissu, je mlikwenda mamlaka husika kujua hamkwenda hati imetoka taarifa yake mumeificha. Mwananchi rudini kwa mstari mnapotea mumekuwa gazeti la ushabiki zaidi kwa sasa na kuacha kufanya tafiti kwa habari zenu. Mhariri mwananchi upo au haupo. Au mnaongozwa na mmiliki wenu huyo mkenya.
Niliwahi sema humu mwananchi linakoelekea litakuwa gazeti la udaku na pengine la kisiasa kama uhuru na tz daima. Leo katika toleo lake limetoka na kichwa cha habari"katiba mpya shakani" point yao kuwa ukawa kujitoa. Ukisoma wamepiga porojo tu ndani hakuna uchambuzi wa kina kivipi theluthi mbili hazipatikani bila ukawa kuwepo. Wanasema ccm walitegemea wajumbe 16 toka ukawa ili wapitishe. Hawaelezi theluthi mbili wajumbe wangapi toka 629 jumla. Na ukawa wako 190. Mwananchi tunzeni heshima yenu mnapoteza mweleko la sivyo mjitangaze nanyi ni kama uhuru na taz daima. Nyuma mlitoka pia sita apata pigo kuwa hati ya muungano hakuna hakuna muungano kwa kubeba maneno ya tindu lissu, je mlikwenda mamlaka husika kujua hamkwenda hati imetoka taarifa yake mumeificha. Mwananchi rudini kwa mstari mnapotea mumekuwa gazeti la ushabiki zaidi kwa sasa na kuacha kufanya tafiti kwa habari zenu. Mhariri mwananchi upo au haupo. Au mnaongozwa na mmiliki wenu huyo mkenya.
Niliwahi sema humu mwananchi linakoelekea litakuwa gazeti la udaku na pengine la kisiasa kama uhuru na tz daima. Leo katika toleo lake limetoka na kichwa cha habari"katiba mpya shakani" point yao kuwa ukawa kujitoa. Ukisoma wamepiga porojo tu ndani hakuna uchambuzi wa kina kivipi theluthi mbili hazipatikani bila ukawa kuwepo. Wanasema ccm walitegemea wajumbe 16 toka ukawa ili wapitishe. Hawaelezi theluthi mbili wajumbe wangapi toka 629 jumla. Na ukawa wako 190. Mwananchi tunzeni heshima yenu mnapoteza mweleko la sivyo mjitangaze nanyi ni kama uhuru na taz daima. Nyuma mlitoka pia sita apata pigo kuwa hati ya muungano hakuna hakuna muungano kwa kubeba maneno ya tindu lissu, je mlikwenda mamlaka husika kujua hamkwenda hati imetoka taarifa yake mumeificha. Mwananchi rudini kwa mstari mnapotea mumekuwa gazeti la ushabiki zaidi kwa sasa na kuacha kufanya tafiti kwa habari zenu. Mhariri mwananchi upo au haupo. Au mnaongozwa na mmiliki wenu huyo mkenya.
Soma sentensi yako ya mwisho. Mtaacha lini ubaguzi? Dhambi hiyo kamwe haitaacha kuwatafuna milele.
mkuu mbona wapo sahii bila ukawa hakuna maamuzi kwa mujibu wa sheria maana sheria inaelekeza ni wajumbe wote wa pande mbili za muungano
mmiliki wa mwananchi ni mkenya?.Niliwahi sema humu mwananchi linakoelekea litakuwa gazeti la udaku na pengine la kisiasa kama uhuru na tz daima. Leo katika toleo lake limetoka na kichwa cha habari"katiba mpya shakani" point yao kuwa ukawa kujitoa. Ukisoma wamepiga porojo tu ndani hakuna uchambuzi wa kina kivipi theluthi mbili hazipatikani bila ukawa kuwepo. Wanasema ccm walitegemea wajumbe 16 toka ukawa ili wapitishe. Hawaelezi theluthi mbili wajumbe wangapi toka 629 jumla. Na ukawa wako 190. Mwananchi tunzeni heshima yenu mnapoteza mweleko la sivyo mjitangaze nanyi ni kama uhuru na taz daima. Nyuma mlitoka pia sita apata pigo kuwa hati ya muungano hakuna hakuna muungano kwa kubeba maneno ya tindu lissu, je mlikwenda mamlaka husika kujua hamkwenda hati imetoka taarifa yake mumeificha. Mwananchi rudini kwa mstari mnapotea mumekuwa gazeti la ushabiki zaidi kwa sasa na kuacha kufanya tafiti kwa habari zenu. Mhariri mwananchi upo au haupo. Au mnaongozwa na mmiliki wenu huyo mkenya.