Recent content by kimokoi86

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama hii habari imeandikwa na Mganda, Watanzania Tuwe makini

    Pia mashekh wetu wa "uamsho" wanaendelea kusota tusiache pia kupiga kelele.haki ipatikane.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

    Rais ni MTU.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Miswada mitatu(3) ya kujadili masuala ya madini na maliasili yafikishwa Bungeni kwa hati ya dharura

    Kibiti kuna hatari kubwa aisee inahitaji mjadala wake pia,wale jamaa wana connection na al shabaab.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Kuna maamuz mengine ya Rais anakuwa right sana.kama suala hili LA mimba za mashulen.litawafanya wanafunz kuacha dhambi hii mbaya ya uzinifu.binafsi naunga mkono.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya kupambana na polisi kumsaidia Mnyika

    Ndugai ni kibaraka.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa Clouds: Nape amjia juu Makonda

    Kwani Rais ni nani
  7. K

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

    Wivu huleta chuki.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

    Ngoma imesimama.
  9. K

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    Yule jamaa amepigwa sana aisee alikuwa na maumivu makali kwa kumtizama.ni mbaya sana.yote yana mwisho haya.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Roma: Wasanii na familia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari

    Acha upuuzi kwenye masuala sensitive ww ?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Huu ni muda wa kuwa wamoja.tukigawanyika tunampa adui yetu nguvu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Na washauri wa Magufuli je ?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Amekuwa shujaa ndio.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Kutokuwa waziri ndio kuisoma no ?!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

    Wewe unatetea uharamia..? ni tasnia ya habari imevamiwa sio clouds peke yake
Back
Top Bottom