Kidogo kidogo tutaambiwa kila mtu awe a gari moja na ukitaka kuongeza mpaka upate kibali,itahamia kwenye nyumba,alafu itaishia kwenye wake. Utapaswa kupata kibali ukitaka kuongeza mke na uwe na sababu za msingi. Wacha tu tuone picha inaishia wapi.....
We kwenu wapi? Ulifika hapo Mwanga ukakutana na watu kijiweni wakakupa story ukapigia mustari. Ulifika Ugweno ama Usangi? Ulifika kwenye hospitali uliyoiponda ya wilaya?Uliona watu waliochoka kiuchumi kama wa huko kwenu? Huna utafiti wa maana uliofanya unakurupuka tu mzee. Mimi kwetu ni Usangi...
Kuku wa kroiler ana kilo 3.5 anauzwa 25,000/= alafu kuchi kilo 3.5 anauzwa 200,000/=. What is so special with kuchi? Nyama yao ina virutubisho zaidi ya kuku wengine?
Eti pawe na mhandisi aliyebobea katika kutengeneza helicopter amsimamie, Tanzania kuna mhandisi anaweza kuunda helcopter? Masharti mengi kiasi kwamba ukiwa na ndoto zako zinazimika mara moja. Ati badala ya serikali kuonesha ushirikiano na kumhamasisha wamekaa kwenye computer wanachapa barua...
Mwenge ni alama ya kishetani,unajua wananchi tulikuwa tumefungwa na hatuuoni ulimwengu,imefika mahali sasa kila kitu kimewekwa hadharani,ndio sasa tunasema alaaa kumbe...nani alijua hili wakati tulikuwa tunaaminishwa kuwa mwenge unatumulikia mipaka yetu ndani na nje,Na kwa kuwa ni ibada kila...
Sasa kwa hesabu za kawaida na kwa siasa za Tanzania Magufuli ni rais,na tunamjua kwa utendaji wake wa kazi na jinsi anavyosimamia mambo yake,kama mmepishana naye watu wa Biharamulo ni huko huko Biharamulo,msingemruhusu aje kulitumikia taifa,kwetu sisi ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mimi niwajuavyo kwale ni ndege wa porini na nishawahi kuwala sana kwa kwatega shambani,wako very shy na wanakimbia sana wanapoona mtu karibu,najiuliza wanakaaje bandani bila kutoroka? Na unaweza kuwaachia kama kuku wa kienyeji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.