Recent content by Kimkodo

  1. K

    Nawaza kwa Sauti: Kama Kampeni ni za Wazi, Kwanini Kura Zisiwe za Wazi Pia?

    Ni mara chache binadamu huupokea ukweli kutoka kwa mwenzake na hasa ukweli wa kuwa humtaki. Anza leo kuwa mkweli kupita kiasi utajikuta mahali pabaya halafu uje uniambie. Katika dunia hii binadamu huishi kwa unafiki. Ni punguani tu ndiye anayeweza kuwa mkweli kwa kila kitu itakuwa wewe kumnyima...
  2. K

    Tarehe 19 Jumatatu - 23 Ijumaa. CCM Kulia kwa Pigo Kuu

    Kama watu watashawishiwa na kujitoa dakika za mwisho, uchaguzi hauahirishwi isipokuwa mgombea akifariki dunia. Kama la kujitoa likitokea itakuwa inadhihirisha zaidi kuwa serikali ikiundwa na watu hao itakuwa ya kisanii kweli kweli. Kila siku watu hawatajua kesho kesho kutatokea nini. Hata...
  3. K

    Déclaration: Antony Diallo back to parliament

    Una propose wewe, yeye kama hataki je? Acha kujidhalilisha.
  4. K

    Makadirio ya mapato ya Askofu Gwajima

    Wajinga ndiyo waliwao!
  5. K

    Jana nilitangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Mjini

    Kama huyo ni kati ya walio bora katika jimbo hilo, basi CDM haina kitu jimboni pale. Inatia huruma!
  6. K

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Wewe mwenyewe umesema haiwezekani kubadili nyekundu kuwa njano, mwenzio ameshapata ulaji wewe unaulizia CV ya nini? Nani alikwambia CV za uongozi au vigezo ni zile unazofikiria wewe ili uzihakiki na halafu iweje. Nenda kale ugali wako ukalale ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Unajichelewesha...
  7. K

    Mwenyekiti wa bunge amtaka Murtaza Mangungo kwenda kubadilisha mavazi aliyovaa

    Alivaa kanzu bila koti na kofia (skull cap) isiyo barghashia. Lakini alirudi akiwa amevaa kwa usahihi kwa kuwa anajua alitakiwa avaeje.
  8. K

    Azam Airlines Yaja

    Jadilini hoja ya msingi, suala tajiri na dini yake tuliache na halituhusu alimradi shughuli zake sio za kidini. Orodha ya matajiri na dini zao hazituhusu kwa hiyo tupuuze wote wenye kupeleka mjadala kusiko. Naipongeza kampuni ya Azam kwa ubunifu wa biashara zake.
  9. K

    Kiswahili language teacher

    Anasema anajiendeleza jamani; mtu anayejiendeleza si mnajua anasuasua?
  10. K

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    USAI (Kiomboi-Shy-Mwanza), ZEGE (Shinyanga-Kiomboi), USHE kutoka Shelui -Kiomboi.
  11. K

    Je, ni lazima mtoto aitwe kwa jina la Baba?

    Jamii zinazofuata ukoo kwa mama zao zinathibisha usahihi wa uzao wa mtoto kuwa ni wa familia ile. Mtoto hana utata wa mama yake mzazi isipokuwa baba anaweza asiwe wa familia ile pamoja na kuwa watu watakuwa wanaelewa kuwa ndiye mume halali wa mke fulani. Kwa jamii hizi urithi katika mali au...
  12. K

    Over 1000 killed in road carnage in 3 months

    Our attitude towards accountability is not focused strongly on life saving in many areas such as licenses, traffic police, passengers and bus owners. God save us!
  13. K

    Tunaungana kumtaka Prof. Tibaijuka agombee urais

    Zanzibar wanasema ni zamu yao urais wa muungano sasa sijui itakuwaje kwa CCM , patamu hapo!
  14. K

    Jerri Silaa: Hakuna wa Kumzuia Membe 2015

    Nani alijua kama Mwinyi au Mkapa enzi hizo wangepata urais. Angalau Kikwete alikuwa anasemwasemwa. Sasa Membe huwezi kujua bwana hata Obama alitarajiwa kugombea mwaka 2017 lakini kaukwaa mapema zaidi.
Back
Top Bottom