Recent content by kimingu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

    Sup inategemeana na mambo mengi sana hyo kusema anaepata sup hajielewi si kwel. .kama umesoma coz ambazo ziko so simple huwez elewa hz mambo..
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa kujirusha toka angani: Muasisi wa mchezo huo Tanzania afariki baada ya kujirusha na kupata majeraha

    Watu wanahangaika huko mahospitalin kutetea uhai huku wengine wanauchezea uhai kama kuna nafasi nyingine ya kupewa uhai hapa Duniani. .Tuwe makini sana kwenye kufanya maamuzi wadau kabla ya kufanya jambo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

    TATIZO WATU HAWATAKI KUELEWA. .YAAN KWA USAWA HUU KUTOKA KITAA KWENDA JW NI NGUMU. .LABDA ITOKEE WATAFUTE WATU MAALUMU WA PROFESSIONAL FULANI NDO WANAWEZA CHUKUA MTAAN NA HASA KAMA UMEPITA HYO YA MUJIBU. .AU KAMA UNA CHANNEL INAYOELEWEKA HUKO MAJUU. .LA SIVYO PAMBANA KITAA UTATOKA TUU. .HYO YA...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

    Mara nyingi wanachukua kambini huko jkt. .kuna watu huko wana zaidi ya miaka miwili. .ww umepiga mujibu wa sheria 3 months ukasepa afu upate chance kirahisi tu....
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Fanya mpango uwaone wataalamu wa masikio hospital.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa nafasi za jeshi

    NA KWA SASA HAKUNA NJIA YA MOJA KWA MOJA KWENDA JW..LABDA KAMA WAO WENYEWE WANAHITAJI WATAALAMU WA FANI FULANI NDO WANAWEZA CHUKUA 1KW 1 TOKA KITAA. .NA MARA NYINGI LAZIMA UWE USHAPITIA JKT. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa nafasi za jeshi

    NADHANI KUNA VITU HUA HATUVIFAHAMU VZURI; JESHI HUA HALINA FORMULA. KWENDA JKT SIO TIKETI YA KWENDA JW.MAANA MKATABA WA JKT HAUONESHI KAMA NI LAZIMA UAJILIWE. .LENYEWE LINAFUNDISHA UZALENDO NA UWEZO WA KUJIAJILI. UTAKUA NA UHAKIKA WA AJIRA KAMA JESHI NDO LIMEKUHITAJI JKT MKATABA WAKE HUA NI...
  8. K

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA ROKU STREAMING STICK 3600R

    Anaejua zinapouzwa hapa Dar naomba msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA DISPLAY YA S6

    NATAFUTA DISPLAY YA GALAXY S6, ISIWE NA CRACKS..OFA YANGU LAKI MBILI.NICHEK 0625522551.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    NAUZA COPY YA SAMSUNG GALAXY S6 . 220/= HAINA TATIZO LOLOTE NICHEK 0768677302
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    NATAFUTA DISPLAY YA GALAXY S5, MWENYE NAYO NICHEK 0768677302
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wale wauza smartphone

    Natafuta display ya galaxy s5, mwenye nayo unaweza nichek 0768677302
Back
Top Bottom