MTU chake kudai hakiyetu hakuna shida washa tunyonya sana sasa imefika Mwisho tule na cc wenye nchii yetu
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Hizo nijanja janja za viongozi kutulizisha mashabiki nanyinyi ndala mwaka wa4 sasa mnashiliki klabu bingwa hata mtoano hsmjawai kufika ndomana tunasema ubingwa wenu ukomfukoni tutaona sasa fedha haram hazina nafasi kazikwenu tuna wasubili mwakani
Siwezi kubushana nawewe mchezaji bola wadunia mala mbili waulaya karibu mala nne unasema unamfananisha na tores na iniesta siwezi jua umliwako labda hujamuona ndomana unamjua mesi na cristiano
Nikweli kabisa niheli tukiwafunga ndala cc tunafurahi kuliko hata kubeba kombe usajili wa msimu mzima zaidi ya milioni 800 harafu kikombe chaubingwa miloni80 hapa ndipo ninapoona uwenda wazimu wa soka la bongo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.