Recent content by Kimeleko

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, askari wa usalama barabarani wako juu ya sheria?

    Habari wandugu. Naomba kujua kama askari wa usalama barabarani wako juu ya sheria? Leo asubuhi nikiwa natoka nyumbani kwangu, umbali kama wa kilomita moja tu kutoka kwangu nilisimamishwa na askari wa trafiki namba F 8548 (pichani) akiwa na mwenzake mwenye tochi, kosa ni overspeed. Sikuwahi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA is over 100% to win the bygond election

    Wamekosa sera hadi wamediriki kutumia nembo ya CDM ya M4C ili kuwachanganya wananchi
  3. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA is over 100% to win the bygond election

    Na kwa mazingira ya kuhesabu kura vituoni na kubandika matokeo naamini "bao la mkono" litadhibitiwa kwa asilimia nyingi. Hureee Lowasa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Picha/sura ya pamoja ya vijana waliotembea kutoka Geita kwenda Ikulu iwe "nembo" ya UKAWA

    Nadhani UKAWA ni Umoja wa Katiba ya Watanzania na sio itikadi ya chama fulani, hivyo hata waCCM wapenda uzalendo wanaweza kuwa UKAWA
  5. K

    JamiiForums Tanzania Vijana 3 toka Geita waachiwa huru

    Unaweza kuwa na shule kubwa lakini lakini usiwe na fahamu wa kuelewa mambo. Hawa ndugu waliotoka Geita wamebeba ujumbe mioyoni mwao na wanauwasilisha kwa kuvaa magunia kuonyesha kuwa wamechoshwa na ufisadi, wizi wa rasilimali na fedha za uma na mambo mengine kama hayo kibao yanayofanywa na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    Zimefunguka zote na zinasomeka poa
  7. K

    JamiiForums Tanzania wimbo wa Bosi uliwafanya watu wawaogope mabosi

    Hata mfalme Daudi kwenye Biblia alichukua mke wa askari wake, akamweka jamaa mstari wa mbele vitani akauawa ili aendelee "kula bata" hata leo mabosi wengi wana style iyo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Izo zote sarakasi kila m2 anataka kula
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM mwisho kule Msata, Mjini kote CHADEMA tupu hivi sasa.

    Mfa maji haachi kutapatapa. CCM wanafosi mambo tu maji yameshawazidi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

    Kiongozi wa dini alieamua kuingia kwenye siasa hawezi kukemea dhambi kwa kuwa siasa ni mchezo mchafu. Ndiyo maana hata Mtume Paulo kabla hajakutana na Yesu alikuwa mtumishi mwaminifu wa serikali ya Rumi wakati huo akiitwa Sauli. Lakin baada ya kuanza kimtumikia Mungu aliachana na siasa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

    Yap... Ndivyo ilivyo kwamba kiongozi wa dini aliyebeba siri za Mungu alafu ajikite kwenye politics ameshapoteza mwelekeo na haezi kutumika tena na Mungu, kitakachoendelea ni uzoefu wa theolojia na sio ufunuo mpya toka kwa Mungu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

    Kweli ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu. Huwezi kutumikia mabwana wawili
  13. K

    JamiiForums Tanzania Alex Malasusa, Askofu wa Lutheran

    Ki ukweli Siasa na Dini ni sawa na mafuta na maji, haviwezi kuchanganyika pamoja. Viongozi wa dini tuwaongoze watu kuijua njia ya Mungu na tuwaache wanasiasa na propaganda zao. Mtumishi alieitwa kumtumikia Mungu kiukweli hajihusishi na siasa kwa kuwa ni mchezo mbovu. Ukijiingiza kwenye siasa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM mwisho kule Msata, Mjini kote CHADEMA tupu hivi sasa.

    Bravo kiongozi, tupo pa1 - CDM People's Power
Back
Top Bottom