Recent content by kimbweta cha udsm

  1. K

    MKANGANYIKO KUHUSIANA NA MATANGAZO YA AJIRA ZA UALIMU

    Mkuu kama unavyo ona apo hata mimi yananirusha roho na ndio maana nimeleta kwenye jukwaa lipi sahihi la mh Jafo au katibu soma vizuri utaona utofauti nilioelezea kwenye vipengele vya sekondari na msingi
  2. K

    MKANGANYIKO KUHUSIANA NA MATANGAZO YA AJIRA ZA UALIMU

    Habari wana Jf.. kuna matangazo mawili yanasambaa mtandaoni Kuhusiana na ajira za ualimu liposuction linatoa ruhusa kwa mwalimu mwenye bachelor kuomba nafasi shule ya msingi na lingine limeondoa hicho kipengele kitu ambacho kinaleta wasi wasi kwa waombaji kuhofia kuomba sehemu isiyokua yao...
  3. K

    Mkqnganyiko juu ya matangazo mawili ya ajira za ualimu

    Habari ndugu wana Jf kuna.... kuna matangazo mawili yanasambaa mtandaoni Kuhusiana na ajira za ualimu lingine linatoa ruhusa ya waalimu wenye bachelor kujaza shule ya msingi na lingine halina icho kipengele kimeondolewa na kuwekwa sekondari wasi wasi wangu ni kwamba unaweza kujaza sehemu isiyo...
  4. K

    MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

    Naomba kujua kuhusu wale walioenda kama mujibu wa sheria miaka ya nyuma wanaweza kuomba tena kujitolea maana katika tangazo linasema asiwe amepitia mafunzo ya jkt na pia kupita jkt miaka ya nyuma ni kupoteza sifa ya kujiunga na jkt .....nawasilisha
  5. K

    Magufuli baba njoo udom basi..mbona huji???

    kero zipo sana lakini kwa sio kumpa magufur awatumbue wanajisikia sana hawa ma bursar hata udoso ambao ndo serikali ya wanafunzini c waoni wakitake actions yoyote nawasiwasi na hawa watendaji lazima wanafanyakazi ya shangaz yao si kwa college zote nasema na hawa wa socio science and humanities
  6. K

    Jipu la Udom limeiva

    ma bursar wa schss ni majipu makubwa haya uongoz wa chuo hebu tumbueni hudumu wanazotoa ni mbovu hasa kwenye usajir kuna idadi kubwa ya wanafunz wanakata tamaa na usajir kutokana kauli zao za matuc
  7. K

    katika ku appeal loan unaambatanisha na documents gan

    uwe na unique reason ambayo itakufanya uwe tofaut na uombaji wa mwanzo uloufanya
  8. K

    Hatimaye magufuri amesikia kilio cha wanafunzi juu ya mikopo yao.

    udom college ipi? mbona wenzenu humanitia huku tayar
  9. K

    Msaada ku appeal mkopo

    jifunze kushukuru kk
  10. K

    Msaada ku appeal mkopo

    hebu fanya km unagawanya boom ulipe hyo ada kuna wenzio wamekosa hebu thank god kwa hicho ulichopata
  11. K

    Bodi ya mikopo kuhusu Continuing Stedents na First year ambao hawakupata mkopo.

    continuing hatuna shida nao sana!!!! hi kauli mbona ina utata kwangu #dilema
  12. K

    majina yatoka walio apply vyuo mbalimbali

    yametoka katika muktadha upi hebu fafanua kwa kina mkuu
  13. K

    Bodi ya Mikopo Tanzania ni jibu linalotakiwa kutumbuliwa

    udom pia kwa college ya humanitia na sayansi ya jamii na program walizotoa mkuu apo juu hajakosea mbk nw hakuna priority aliyepewa
  14. K

    Ushauri: transfer

    makumira ndo baba yao hawo kina tumaini
  15. K

    Meeting for the continuing students who missed the loan from HESLB

    hii ishu ya matokeo baadhi tumeifanya two weeks ago!! so how comes watu process baada ya budget kutumik kwa first year pia wao wakiona unavigezo vya kupewa before hawaja tuma hela hizo waombe matokeo chuo kwani wato kwaajili ya nan? m naboreka sana na utendaji wao toooo lazzzyy
Back
Top Bottom