MKANGANYIKO KUHUSIANA NA MATANGAZO YA AJIRA ZA UALIMU

Nov 9, 2014
35
2
Habari wana Jf.. kuna matangazo mawili yanasambaa mtandaoni Kuhusiana na ajira za ualimu liposuction linatoa ruhusa kwa mwalimu mwenye bachelor kuomba nafasi shule ya msingi na lingine limeondoa hicho kipengele kitu ambacho kinaleta wasi wasi kwa waombaji kuhofia kuomba sehemu isiyokua yao hususani wa masomo ya Sanaa... msaada kwa anae fahamu ahsanteni kwa kuchukua muda wako na kusoma nawasilisha
 

Attachments

  • tangazoajirampyawalimufeb2019-2_1_0 (1).pdf
    124.8 KB · Views: 23
  • tangazoajirampyawalimufeb2019-2.pdf
    103.7 KB · Views: 122
acha kurusha roho wenzio, hilo la pili umelitoa wapi wakati mwishao linaonyesha sahihi ya Waziri Jafo????
Mkuu kama unavyo ona apo hata mimi yananirusha roho na ndio maana nimeleta kwenye jukwaa lipi sahihi la mh Jafo au katibu soma vizuri utaona utofauti nilioelezea kwenye vipengele vya sekondari na msingi
 
Kuna shida kubwa...kwa sasa tangazo liliopo tovuti ya Tamisemi lina sahihi ya Jafo alafu limeelekeza walimu wa sanaa wenye bachelor waombe upande wa shule za sekondary wakat tangazo la kwanza lilikuwa na sahihi ya katibu tamisemi lilielekeza walimu wa sanaa bachelor waombe upande wa shule za msingi....
in short wanachanganya watu na hakuna masahihisho yyte yaliyotamkwa zaidi ya tangazo kubadilika kimya kimya
 
Hapo naona waliosoma diploma yenye masomo ya art au sanaa ni moja kwa moja primary ila art wa degree ndio sekondari ,halafu aliyesoma sayansi awe diploma au degree anaenda secondary na aliyehitimu mwaka wowote anaweza ku apply ila tu asiwe na 45 years kwa sasa
 
Back
Top Bottom