Recent content by kimbweridede

  1. K

    Ndoa yangu imekuwa mwiba, nisaidieni jamani

    amina nashukuru sana kwa huu ushauru nitaufnyia kazi
  2. K

    Ndoa yangu imekuwa mwiba, nisaidieni jamani

    Habari zenu wana JF, Mume wangu hajaniomba papuchi miezi mitano now, siku hizi amekuwa bize sana na kuchati katika magrup ya wasap kiasi kwamba hana hata muda wa kuongea either na mimi au mtoto anakaa sebuleni mpaka saa 7 usiku akija room anakuta tulishalala na mtoto saa nyingi. Then Siku...
  3. K

    Uwanja wa Mashujaa Moshi umetapika, Dr. Magufuli kuhutubia

    dah nafwatilia star TV now watu wakiambiwa ccm hoye wananyoosha vidole viwili kwa maan ya CHADEMA in sheeeedah
  4. K

    Dr. Magufuli hafai, ataiga hata mambo mazito na mabaya

    mmh umeme jaman tutakufa njaa wengine biashra zetu n umeme
  5. K

    Dalili za Utendaji Bora: Buhari ahutubia kwa dakika 12 tu

    Lowasa kidogo katoka , anajiamini anajikubali, anajua upepo waa viongoz na ethics za kimataifa, sio porojo, Mara kiluga Mara ngoma za asili kwa umbali hzo zooote no sign za udanganyifu na failure coz hajiaminiiii!!!
  6. K

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    Sio tabata tuu ndugu ni nchi nzima bad enough hakuna Maji pia na zote hizi ni service muhimu sana kwa binadamu. ccm wauwaji. tang j3 tunanunua Maji huku mbezi Lita 20 kwa EF 1, imagine hatuogi hatufui nguo. mungu angamiza ccm ili tupone
  7. K

    Kasoro DART: Milango ya mabasi ipo kushoto wakati vituo vya abiria vipo kulia

    Hahah I can imagine hyo Rivas, u HV made my day
  8. K

    Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

    Ameeeeen mwenyenzi mungu atamlinda na mabaya yote atamfunika chini ya mbawa zake atamlinda km mboni ya jicho kwa sababu n mtumish mwaminifu
  9. K

    GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Ndiyoooooooo watz wanamkubali kwa asilimia 80 saut ya watu saut ya mungu. asiyekosa kwa kutoa au kupokea rushwa hta km n ndogo na awe was kwanza kumtupia jiwe. nobody is perfect 100%, I need to see changes kwa kukiwek chama kingine, just for 5 years.
  10. K

    ASHA ROSE MIGIRO ana SPEECH TAMU SANA

    sure ingekua sio gubu la ccm Migiro angepitishwa kwa speech yenye viwango. huyo magufuli kafunikwa na wanawake. hajui kupangilia speech cjui akiwa raisi atatuwkilisha vipi kmataifa. Shammme!!
Back
Top Bottom