Recent content by Kimbweka

  1. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?

    Habari ndugu zangu. Natumaini mu-wazima. Naomba msaada kwa atakayekuwa na utaalam au ushauri juu ya hili gonjwa. Inaanza kuuma kwenye visigino na nyayo, usaha unakusanyana na baadaye inakuwa kama kidonda. Kinapona baada ya muda kinarudi.
  2. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa: Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Wenye ubunifu wanakosa kufanya maamuzi, michango yao inaishia chini

    Hivi kampuni zote za viwanja vya ndege wafanyakazi wake wote wako kwenye UTUMISHI WA UMMA??
  3. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Sakina area near olosiva ipo barabarani
  4. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Signature Bomas
  5. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania CRDB tangu asubuhi hakuna huduma

    Nimehangaika sana kidogo watoto washinde njaa sema nilikuwa na kaakiba kidogo kwenye airtel money ndiyo nimewatumia, wanachosha sana, mara wakuambie unatakiwa uweke hela TRA, wakati huna uhusiano wowote.....mbaya sana
  6. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Nyuki balaa!! Waua mpishi wa Makamu wa Rais Dodoma

    Dondola si ndo Nyigu 🤣
  7. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Nyuki balaa!! Waua mpishi wa Makamu wa Rais Dodoma

    Duh, vipi kuhusu manyigu????
  8. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Nina uwezo mkubwa wa kutambua hatari iliyo mbele

    🤣 :D KUMEKUCHAAA,.....KUMEKUCHAAA.....!
  9. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Mtuhumiwa wa mauaji ya msaidizi wa kazi afikishwa Mahakamani chini ya ulinzi wa Polisi. Atakiwa kutojibu chochote

    🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
  10. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Samata kuondoka peke yake kurud tanzania kunatoa tafsiri gani.

    🤷‍♂️🤷‍♂️ keshalamba dume
  11. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Hv line ikizimwa WhatsApp si itaendelea kufanya kazi through WiFi?
  12. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Ngoja niisakanye....
  13. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    :D😂😂🤣🤣🤣🤣
  14. Kimbweka

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Bravo SIMBA
Back
Top Bottom