Recent content by KIMBURU

  1. KIMBURU

    Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

    Kutoka kwenye Facebook wall ya Professor Jay................ "Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za TONGWE RECORDS majira ya saa moja usiku na wamemchukua ROMA @roma2030 , MONY @moni_ centrozone na kijana wa Kazi na pia wamechukua COMPUTER ya studio na Screen (Tv) na...
  2. KIMBURU

    Mfalme wa Morocco azindua ujenzi wa msikiti wa kimatifa Dar

    Bado natafakari nini kilimsukuma JPM hadi akaomba msikiti. Hivi Tanzanzania tuna uhaba wa misikiti? Itatokea katika utawala wake atakuja kuomba msaada wa kujengewa kanisa? ............ nawaza tu!
  3. KIMBURU

    Msiba wa Dr. Massaburi wawakutanisha Edward Lowassa na Jakaya Kikwete uso kwa uso

    NINAWASIWASI NA UHALISIA WA HABARI YAKO! JK leo msibani hakuvaa hiyo suti unless awe alibadili nguo!
  4. KIMBURU

    Bombardier and Government of Tanzania Sign Purchase Agreement for Two Q400 Turboprops

    Bombardier Commercial Aircraft announced today that the Government of Tanzania has signed a firm purchase agreement for two Q400 turboprop airliners. The aircraft will be delivered with a 76-seat, dual-lavatory configuration and will be used for commercial airline operations in the region...
  5. KIMBURU

    Mchungaji Msigwa na wenzake 61 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Dady Igogo ni mhadhiri wa somo la Kiswahili katika Chuo Kikuu Cha Kikatoriki cha Iringa (RUCU) zamani kikijulikana kama (RUCO). Sijajua kabla ya hapo alikuwa wapi.
  6. KIMBURU

    Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Kwani hata wewe dada ni gamba?
  7. KIMBURU

    Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    magamba punguzeni ushamba
  8. KIMBURU

    Mbeya waendelea na mgomo kutofungua maduka

    Yule ---- aliyepost juzi kati kuwa wafanyabiashara wa Mbeya walimwita Mwigulu genius yuko wapi?
  9. KIMBURU

    Rev Msigwa: CHADEMA imeongeza thamani ya wapiga kura

    Akiongea na umati wa wakazi wa iringa mjini uliofika kumsikiliza katika viwanja vya mwembetogwa, msigwa alisema kuwa zamani ccm walikuwa wakiwanunua wapiga kura kwa kofia na t-shirts; lakini siku izi kutokana na presha wanayoipata kutoka CHADEMA, CCM wananunua wapiga kura kwa bodaboda. Hivyo...
  10. KIMBURU

    Mwenyekiti wa mtaa (CCM) Iringa mjini ajiunga na CHADEMA

    Anaitwa Tikatika Kilave, ni mwenyekiti wa mtaa wa wazo A kata ya Mkwawa. Ameamua kujivua gamba muda huu kwenye mkutano ulioitishwa na mh Peter Msigwa ili kuongea na wananchi wake. aluta continua...!
  11. KIMBURU

    Wito wa Maandamano: Unyama wa Kapuya na Sheria

    Then din inachafuliwa na nini? kama sio waumini then what else?
  12. KIMBURU

    Wito wa Maandamano: Unyama wa Kapuya na Sheria

    Ufuska kwa huyu ALHAJ PROFESSOR ndio jadi yake, nawashangaa sana wanaohangaika kumtetea. Kama ALHAJ anaudhalilisha uislamu; pia kama PROFESSOR aidhalilisha elimu yake; na kama mbunge anaidhalilisha hadhi yake na pia chama chake. SHAME ON HIM!!!
  13. KIMBURU

    Kumbe Wabunge wengi wa CHADEMA hawana Elimu ya Juu Kabisa!

    Kwani kaka unaelewa nini kuhusu neno ELIMU? Elimu ya mwenyekiti wako ndio inayomwezesha kuongoza? mbona cuf inaongozwa na professor lakin haina cha maana? GROW UP KID!
  14. KIMBURU

    Filikunjombe: Wabunge wa CCM tunautumia wingi wetu vibaya

    Akihojiwa na shirika la utangazaji (BBC) kuhusu mchakato wa katiba unavyokwenda, Filikunjombe amewalaumu wabunge wenzake wa CCM kwa kuutumia wingi wao vibaya na hivyo kushindwa kuwawakilisha vema wananchi. Pia amewaonya wabunge wa CCM kuacha kumpotosha rais katika utendaji wake kwa kuitumia...
  15. KIMBURU

    Tundu Lissu kumburuta Kinana mahakamani

    Safi sana!!! hiyo ndio dawa ya watu wanaojidai hawana akili wakati wanazo. Nadhani huu utaratibu anaotaka kuuanzisha Lissu unafaa kusapotiwa, inabidi tuanze kuutumia upumbavu wa hawa magamba kwa faida. Kadri watakavyoona upumbavu wao unawagharimu ndivyo akili zitakavyoanza kuwasogea taratibu.
Back
Top Bottom