Mwenyekiti wa mtaa (CCM) Iringa mjini ajiunga na CHADEMA

Mwenyekiti wa mtaa (CCM) Iringa mjini ajiunga na CHADEMA

KIMBURU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
210
Reaction score
189
Anaitwa Tikatika Kilave, ni mwenyekiti wa mtaa wa wazo A kata ya Mkwawa. Ameamua kujivua gamba muda huu kwenye mkutano ulioitishwa na mh Peter Msigwa ili kuongea na wananchi wake. aluta continua...!
 
Jamani M4C taratibu basi wajamen! Mnajua tutakosa mpinzani baada ya muda mchache sana then tubweteke! wavungieni kidogo tu hao chama cha watokomezaji
 
Hataki kumtegemea Nape na CCM waje wazikwe wote kama yule jamaa wa magereza, kweli akili mkichwa, adhana ilishapigwa, CCM chake hakuna tena. Ni nguvu ya UMMA tu
 
M4C with No Apology...

Hapo akina Mwigulu Savimbi ndio wanazidi kuchanganyikiwa maana target yao ilikuwa CHADEMA IFE LEO, si ndio mwisho wa mwaka 2013 aliotamba Wassira kuwa CHADEMA itakufa. Matokeo yake huko Iringa gamba linavuka na kule Bunda kwa Wassira MaCCM yamekosa mgombea wa udiwani
 
wananchi wamejitambua propaganda za akina ccm hazjna pakufikia yaani ni dhoruba
 
Ni kazi nzuri.Tuko pamoja nawe Mch Msigwa. Kwa taarifa yako, huko bandari ya salama cotainer 5 meno ya tembo ilikuwa ivushwe kwenda China na meli ya kijeshi iliyopiga nanga hapo siku tatu zilizopita.
 
Ni kazi nzuri.Tuko pamoja nawe Mch Msigwa. Kwa taarifa yako, huko bandari ya salama cotainer 5 meno ya tembo ilikuwa ivushwe kwenda China na meli ya kijeshi iliyopiga nanga hapo siku tatu zilizopita.

Kazi ya Kinana hiyo anajua jana Jaji Warioba amewatupia rasimu ya pili ya katiba sasahivi mko busy kuipekenyua akaona ndio muda muafaka kusafirisha vipusa.
 
Ni kazi nzuri.Tuko pamoja nawe Mch Msigwa. Kwa taarifa yako, huko bandari ya salama cotainer 5 meno ya tembo ilikuwa ivushwe kwenda China na meli ya kijeshi iliyopiga nanga hapo siku tatu zilizopita.

Yana ukweli haya mkuu? ni kweli meli ipo ila kuingiza kontena 5 na mle ndani kuna wanajeshi zaidi ya 2000? nways nyalandu alllinukuliwa majuzi anasema toka oparesheni tokomeza isitishwe tembo ndiyo wameongezeka kufa mara dufu
 
Mkuu,

Nenda uzi unaohusu ilo suala ujionee mwenyewe.
 
Nadhani ndiye atakuwa mgombea wa urais wa chadema kwa mwaka wa 2015 badala ya slaa.
 
wale mnaotetea lichama lenu chakavu haya someni hii habari coz inawahusu nyie mnabwabwaja sie chadema tunazidi kuvua wanachama at the end of the day we remain to be winners and you remain loosers ha ha ha ha ...........
 
Mwaka mpya chama kipya chenye mwelekeo madhubuti.
 
Back
Top Bottom