Geofrey Andrew Sanga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 251
- 55
Hapa jijini mbeya wafanya biashara jijini mbeya wameendelea na mgomo wa kutofungua maduka wakigomea mashine za TRA na wengi wakijiuliza kwanini wawekezaji wasamehewe kodi sisi tunafungiwa mashine za kutukamua mbaya zaidi tununue wenyewe tena bei ya juu laki nane 800000 haiingii akilini hata hivyo wengi wanaapa kuwa wataonyesha hasira kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa chini naomba kuwasilisha ushahidi wa picha