Recent content by Kimbojo

  1. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini majambazi wa Stakishari hatukuonyeshwa sura?

    Mkuu sinema za Kijeshi!!!!!
  2. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mkuu, tumekuelewa ahsante, hii message ni kwa woote wanoendesha magari, sio binafsi tu. La mhimu zaidi ni kuzidisha umakini maana wewe utafuata sheria zote atakuja mwehu mmoja akakumaliza. Kila la kheri
  3. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania CV ya Dr. Francis

    born academician? ///
  4. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Hii stori ni kama vile mwendelezo flani hivi, kama ndivyo hivyo, wengine hatukuona mwanzo. huyo bwana sababu ya kifo ni nini?
  5. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tuboreshe Rasimu iliyopo - Adai hajafurahishwa na Hotuba ya Warioba na Rais Kikwete

    Hapa tabu imekuja baada ya muundo wa hotuba ya ufunguzi wa bunge maalumu. Hapa nilitarajia /tulitarajia hotuba ya ufunguzi ambayo si kuchambua hoja za rasimu iliyowasilishwa na jaji Warioba. hichi ndicho kilichokuwa kikiitwa na AG seremonial speech? hivyo bwana zito hotuba hiyo ya mzee wako...
  6. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA lipo njiani

    Sio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na rep power. Kamba haieleweki mamdenyi!! review
  7. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Marhaba..... Looking butiful!

    hakuna la maana zaidi ya kufanya marketing ya bidhaa yake tu.
  8. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Mkuu, kumbe unampenzi anavaa nguo za nusu uchi?, poole, inawezekana nawe unavaa suruali nusu makalio!!!
  9. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Kitanda chako na mke au mume Wako

    No , kitanda cha ndoa kiheshimiwe haiwezakani kabisa. Mgeni atatafutiwa chumba sehemu nyingine, assume umemkaribisha mtu chumbani kwenu afu ghafla mwenzio anarudi ucku, itakuwa aibu.
  10. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    tandika na viboko pia, wamezidi saana
  11. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Ipi njia sahihi ya kutumia wakawati wa kuduu mwanamke akiwa danger zone?

    Njia sahihi ili ashike mimba au kuepuka kushika mimba?
  12. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Red bull inahatarisha maisha hasa kwa vijana

    Ahsante, hivi huwa haina TBS ? sijawahi kuitumia, umeninusuru sitajaribu ila naona madereva wanakula sana hiyo bidhaa,
  13. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Iramba aachia ngazi

    Sijakuelewa, nimemsema yule aliyejiuzulu kwasababu alizozitaja, sasa hapo sijui nini
  14. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Iramba aachia ngazi

    Huyo ndiye anaukabila mkubwa kuliko maelezo, eti anaondoka kwa sababu ya Kitila ambaye ni kabila lake, anataja pia mwigulu ambae pia ni wa kwao. Hakuna haja ya kutangaza watu kama hawa.
  15. Kimbojo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    RIP mwanajukwaa, Kwani uchunguzi wa polisi na madokta wameshindwa kubaini chanzo cha kifo,
Back
Top Bottom