Recent content by Kimberley

  1. K

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Kwani Zitto ndio alikuwa miguu ya CDM?? Tafakari
  2. K

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Asanteni CHADEMA kwa maamuzi magumu, wanafiki wote lazima watoke... time will tell
  3. K

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Nasikia kutetemeka... hii story naona ni ya kutunga! haiwezekani......Noooo naona nitakula ban nikichangia
  4. K

    Please i need advice...

    Pole kwa maumivu, ila u need to move forward, don't stand move forward, everything happens for a reason!! move on
  5. K

    Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga

    Poleni sana wana madale, ila mleta habari ungeleta habari kamili kama unataka watu wachangie mawazo haraka nini cha kushauri au kifanyike kuepusha maafa zaidi, kuleta habari nusu nusu haina tija au kutumbia unaenda mochuari kufanya nini? jamani hebu jitahidi next time kuandika kinachoelewaka au...
  6. K

    Kurudia uandikishaji vitambulisho vya uraia DSM ni matokeo ya kupeana kazi KISHIKAJI

    Hivi kwa nini hakuna button ya "dislike" or "disgust" maana kuna watu huwa wanapenda kuongea nonsense!!
  7. K

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    No justice, kwa nini hivi? mpaka lini? We need to stand up for ur rights people!!!!!
  8. K

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    As per Radio One Breaking News:Mahakama kuu kitengo cha kazi kimewataka viongozi wa CWT kutangaza kufuta mgomo, na walimu warejee kazini haraka.
  9. K

    anayejua dawa ya hii anisaidie

    Jaribu pia kutumia sensodyne toothpaste
  10. K

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    Pesa ya Mbowe ni clean siyo ya EPA! huyo Mwigulu ni mropokaji hana chochote, msema chochote, haitusaidii kutueleza personal issues za Mbowe. Tuambie chama chako kinatufanyia nini ili tupate maisha bora, huduma za afya madawa kwenye hospital, huko vijijini watu hawana hata vituo vya afya, maji...
  11. K

    Tatizo kwenye ndoa yangu naomba msaada

    chagua moja; watoto na baba plus mtandao or watoto bila baba safely bila mtandao
  12. K

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Mwanguko mwingine wa magamba unakuja,,,,.... can't hold my breathe!!!!
  13. K

    Habari hii - Itawasaidia zaidi wale waliokata tamaa ya maisha......................!

    Kweli maisha ni kusonga mbele na sio kukata tamaa katika hali yoyote ile na kwa uwezo wa Mungu tutafika!
Back
Top Bottom