Madale kwalipuka, ofisi ya CCM yavunjwa FFU kuongezwa wananchi mishale na mapanga

serikali inawatoa watu ambao wamevamia ardhi ya watu tu na c vinginevyo na hao wavamizi wameanzisha vurugu kupigana na askari kwa kutumia mapanga na mikuki

sema mafisadi wamepindisha sheria ili wajimilikishe ardhi baana ya kusikia kuwa lami na mradi wa maji unakuja na huku hakutakalika:
 
aaah! kumbe we mwanaharakatihuru, upeo wako ni finyu! usilete habari kwa kukurupuka bana, toa sababu zilizokuwa za uhakika! kumbe wewe unaleta ushabiki tu, **** sana wewe! watu wanataka habari zenye uhakika na si ushabiki wakuvutia kwako tu! mbwiga mbwiguke wewe
 
Watu ambao inasemekana ni vibaka na majambazi walikuwa wamevamia na kufanya makazi katika mashamba ya watu na kesi ilishaenda mahakamni na ikaonekana hao ni wavamizi waondoke,walishaamuriwa na serikali waondoke wakawa wamekataa sasa serikali imeamua kwenda kuwatoa kwa nguvu sababu yalikuwa ni maficho ya wahalifu
 
Serikali inawatoa watu ambao wamevamia ardhi ya watu tu na c vinginevyo na hao wavamizi wameanzisha vurugu kupigana na askari kwa kutumia mapanga na mikuki
Katika nchi ambayo rais mstaafu (Alhaji Mwinyi), pamoja na marupurupu yote anayolipwa, bado anaona ni haki kunyang'anyana viwanja na wananchi maskini, mambo kama haya hayaepukiki.
 
Wamiliki wana hati miliki zinazoonyesha kuwa ni wamiliki halali na ndio maana walipeleka hili suala mahakamani na wakashinda kesi.inabidi watanzania kuna wakati tuwe tunaenda na haki,hebu fikiria ardhi yako uliyoitolea jasho ktk kutafuta pesa na ukainunua then ktk kujipanga after sometym unakuta watu wamekaa hapo wanasema ni kwao ilhali ukienda wizara ya ardhi na jiji zinaonyesha wewe ni mmiliki utajisikiaje?ndio wanavyojisikia wenye maeneo yaliyovamiwa.
 
Katika nchi ambayo rais mstaafu (Alhaji Mwinyi), pamoja na marupurupu yote anayolipwa, bado anaona ni haki kunyang'anyana viwanja na wananchi maskini, mambo kama haya hayaepukiki.

Huyu c mzanzibar anamilikije ardhi, na mimi kesho niko huko tukaendeleze hilo libeneke
 
Ndugu zangu hali kutoka huko sio nzuri kama kuna mwenye mawasiliano na rais amwambie mambo ya south africa yanendelea. Tunahitaji msaada wa redcross asap watu wanakufa. Naripoti kutoka mastari wa mbele

watu wanakufa,wanakufa vipo wee upp wapi,mstari wa mbele ni upi?
 
jasho la nini, umenitukana nimenyamaza ila nakuambia katika hasira nilizokuwanazo nakutafuta rasmi, I promise i will find you after four years from now, ngojea nielekee mochwari kwanza

lete habari kamili bana! acha kuleta habari nusu nusu! nina ndugu zangu kiao huko,hata kwenye simu siwapati aisee!
 
hahaha! Híi ban umeitafuta markj

aah! huju jamaa ndo ananotafutia ban bwana! badala ya kuleta habari za uhakika anaanza kulialia tu!, mara anaenda mochwari! mara yuko mstari wa mbele, nikaona nikimpa ilo, lazima atanijibu tu
 
unaelekea mortuary kwa kuwa umekufa au ni mfanyakazi wa mortuary au unaenda kuchukua mwili wa ndugu sijakuelewa!!

hahahah...imebidi niwashirikishe wadau humu ofisini...
maana nimecheka mpaka nikachukua attention yao...LOL
 
mwnaharakatihuru, eneo lako lina dhahabu nini, maepari wamelishtukia aisee, wameshindwa kulishtukia la ziwa nyasa, wanakung'ang'ania madale huko. mimi mwenyewe ni muraaaa, bita ni bita mura, naleta vifaru huko.
 
Poleni sana wana madale, ila mleta habari ungeleta habari kamili kama unataka watu wachangie mawazo haraka nini cha kushauri au kifanyike kuepusha maafa zaidi, kuleta habari nusu nusu haina tija au kutumbia unaenda mochuari kufanya nini? jamani hebu jitahidi next time kuandika kinachoelewaka au kaa kimya!
 
Mwanaharakati naomba usilete ushabiki,serikali haiwezi kuchukua hatua bila utaratibu kufuatwa,sasa kama imekuja kuwatoa wavamizi na wavamizi wakaanza kujihami kwa mapanga na mishale jamani sasa hao si ni majambazi,nakushauri ukae pembeni usijiingize katika vurugu mwanaharakati.
 
Back
Top Bottom