Recent content by Kimatare1

  1. Kimatare1

    Napokea Orders za vifaranga wa kuku wa kienyeji.

    Ni kuku wa kienyeji pure au ni hawa Kuloira?
  2. Kimatare1

    Jua umri unaoendana na matendo yako kwa kufanya zoezi hili ndani ya dakika 2

    Mmmmh! jamani kipimo kimeniongezea miaka 13 aisee.
  3. Kimatare1

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Oooh sorry! sikujua kama umeipenda kiasi hicho mpaka unasema "Au ulitaka iende wapi?" But Rais2020 hukua na sababu ya kusema "llipaswa ipelekwe puani kwako?" coz hicho kitu hakipo wala hakiwezekani, ongea vitu vyenye maana.
  4. Kimatare1

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    OMG jamani mnisamehe haikupaswa ije humu
  5. Kimatare1

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    [emoji116]GOT FROM ANOTHER FORUM[emoji116] DANGERS OF ANOINTING OIL AND WRISTBANDS In the spiritual world anointing oil, water or any other object is given to members to establish contact with the demonic world.These objects which are a symbol of a covenant with satan are to be worn around the...
  6. Kimatare1

    Natamani kumwacha huyu mume wa mtu ila..

    Just quit, don't say anything.
  7. Kimatare1

    Kakobe awachana live Nape, Rose Mhando, Mangula, Mwakyembe na Makonda

    Wala halitoachwa hata neno moja katika haya uliyoyaandika, lazima itapatikana hukumu yake. Usiwe unachangia tu mradi kufurahisha genge, hakikisha unayoyaandika unahakika nayo hasa anapozungumziwa mtu fulani especially mtumishi wa MUNGU yeyote.
  8. Kimatare1

    Utatu wa maajabu ya anga leo usiku (usiku wa Ijumaa)

    Ni kweli mkuu, Mwezi unaonekana wote vizuri (Full Moon )
  9. Kimatare1

    Ushauri: Nimegundua mwanamke ninayeishi naye aliwahi kuolewa kanisani

    Usipate shida Mkuu rudi msalabani kama unataka kutengeneza na MUNGU. He will make the way for you.
  10. Kimatare1

    Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

    Hujui utajigawaje kwani unawataka wote wawili?
  11. Kimatare1

    Ushauri: Nimegundua mwanamke ninayeishi naye aliwahi kuolewa kanisani

    Mkuu mambo ya rohoni yana ushindani sana, Pia swala la ndoa ni swala la kiMungu. Mambo ya kamwe hayaendi kikamilifu kama hakuna maombi. Shetani aliiona nia yako tangia mwanzo na kazi yake ni kuharibu mambo yasiende kama yalivyopangiliwa ndio maana tunamshinda kwa maombi. Mkuu hapo kama...
  12. Kimatare1

    Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
  13. Kimatare1

    Hivi ni kweli wanawake uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kulinganisha na wanaume?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom