Recent content by Kimasikhara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wadhamini wa Singida Big Stars

    Wapo vizuri sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Utopolo tu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

    Kashindwa sababu ya kua lazima mmoja ashinde si kwa kua Wanaharakati mchwara wamepiga kelele... wasitake kujipa umuhimu usiostahili. Wangefanikiwa na ile petition ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro hapo ndio tungejua wananguvu ila ushindi wa Burna Boy wao wasijitafutie umaarufu usiowahusu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini South Africa tamthilia zao lazima waweke mashoga?

    Ushoga it's only a matter of time tujiandae kisaikolojia tu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuota unapaa!!

    Nilikua naota hizo ndoto kwa miaka kadhaa mara ya mwisho ilikua 2017. Baada ya hapo zikakata baada ya kufanyiwa dua... ila nilikua ninapaa kwenye ndoto Ethiopia Airlines nyuma
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuombwa talaka gerezani

    Huyo mama lakini pia hakukosea kwa maana aliomba ruhusa kwa mumewe na kupewa talaka
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Never give up Bro
  8. K

    JamiiForums Tanzania Simba wanabebwa waziwazi na TFF

    Hakuna Covid ila kulikua na wiki tatu za maombolezo na ndio maana ligi imechelewa kuisha
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Hakika Mungu ni mwema kaka
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Maisha Sio ABC maisha ni sentensi nzima haina formula kua utaanza na alfabeti gani
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    True, Sio jambo la kufarahia ila Sio jambo la kujiona huna thamani
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Inatafuna sana kuona ulichodhani ndicho kina kukataa by the way hongera kwa kua flexible na kuangalia upande my engine. ...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Pole sana Chief tusione aibu kuongea changamoto zetu jua tu you're not alone. Jitume tu ipo siku itaeleweka
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 sina kazi, sina mpenzi ila ninaishi

    Kwa ground changamoto ni nyingi sana
Back
Top Bottom