Habari za muda Huu wadau, Mwenye uzoefu au anayefanya biashara ya Dry cleaner anijuze.
Changamoto za biashara iyo
Faida za biashara
Soko linapatikana vipi (wateja)
nakadhalika...
Asante..
Habari wananzengo,
Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ??
Naomba kujua
Mdogo wangu kaniomba pesa kidogo anunue matumizi kujiandaa na tarehe 9, Huwenda kukawa na Curfew.
Nimemtumia Pesa kwa Njia ya Kibenki na maelezo hapo nimejisahau nimendika "MAANDAMANO"
JE INAWEZA KUNILETEA SHIDA JAMANI?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.