Recent content by kimande

  1. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu ofisini ni kahaba, ajira yake ni geresha tu

    Yaani kuna watu wanaumiza kichwa kwa maisha ya mtu poh wee mtu hebu Fanya kazi iliyokupeleka kazini wengine wametumwa kufanya kazi za ziada ilikupata hbr
  2. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikipenda sipendwi, nikipendwa sipendi

    Unafikiri hizi ndoa zote wanaoana walio pendana kama unavyotaka?
  3. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

    Pole yaani yy hajui chochote afu umsomeshe kila mtu anachaguo lake ikiwa haupo mwenye chaguo lake afu mkataba umeingia na mlezi wake unahatari ww. Msomeshe kwa kumsaidia tu sio uje uoe hiyo nikama unacheza biko
  4. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada: Hela ya salon inauza utu wako

    Yaani 20 imekutoa roho je ungeobwa laki? Uwiiiii rudi kwa mkeo upumzike
  5. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wapenzi wenu wana wivu kama huyu wangu?

    Hahahhaha uwiiii usiombe ukakutana na mwanamke mwenye wivu ataku fraisha
  6. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo naanza kupiga kama Malaya wengine tu

    Ulichofanya sio sahihi sasa we we kaoe jini ndo aliyekamilika we mwenyewe hukosi yako na hata Huyo utakaye mpata atakuwa hajakamilika tena unaweza on a bora ya wa sasa
  7. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Feedback: Natafuta mchumba

    Hongera my kwa ujasiri niwatu wachache wenyekuweza hayo Mimi mwenyew natafuta mwenza wa kufa na kuzikana ila naona aibu kutangaza hahahhaha. Sasa kupitia kwako naomba nitangaza nahitaji mume mwenye upendo wa dhati serious hakuna kuchakachua mpk ndoa hahahhaha awe mwislam au awe tayari kubadili...
  8. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Mke
  9. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Naomba kuuliza waugwana hivi huwezi kujua tigo ya mkeo inaliwa?
  10. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Sasa kwa taarifa yako ukimla tigo mkewe usiende mbali na mkeo utachapiwa tu sio yapekee yako hiyo tigo
  11. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Yaani wana ndoa wote wanao Fanya mapenzi kinyume cha maumbile hawana ndoa mwenyezi mungu anaifutà mnabaki wanzinzi tu. Niligundua mpenzi wangu ndio michezo yake hiyo nilimwacha fasta sitaki ujinga mbele ya tigo shabashi fukuza huyo kashalaaniwa
  12. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliachana miaka mitano imepita kaoa na ana mtoto ila anaomba turudiane

    Hebu achana nae alikuona hufai ndomana hakukuoa ww hizo in nyege tu zinamleta kwako kaa tulia muombe mungu utampata wako inshaa Allah
  13. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kuongeza mke wa pili

    Hapo unatafuta mfanyakazi sio mke lol
  14. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya msafisha kucha... Mmh!

    Mmh hatari lol
  15. kimande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni dawa ya wivu?

    Jamani na Mimi in mwathirika wa wivu lol ninawivu sana ile kauli chapekee yako labda kaburi nimeshidwa mpk saizi Nina miaka 30 sijaolewa sababu ya wivu nataka awe wangu tu hahahaaa
Back
Top Bottom