binafsi nimesoma kwa kina tuhuma anazotoa mbunge wa bunge la afrika mashariki mh. Shyrose banji dhidi ya waziri sitta na kujiridhisha kuwa huo ni sehemu ya mkakati wa lowassa kutafuta uraisi wa 2015 na wala hakuna hoja yoyote inayojengwa kwa misingi ya iwajibikaji wala uzalendo.ukisoma maelezo...
Nimeona wakiutangaza huu mfuko katika kituo cha ITV na wanadai kuwa unapata mahela mengi fasta ndani ya kipindi kifupi sana.
Binafsi sioni tofauti yake na deci iliyowatapeli watu na kutokomea kusikojulikana huku kesi iliyofunguliwa pale Kisutu ikiwa imetoweka kiaina.
Kwa wanaofahamu zaidi...
naomba tafadhali mwenye taarifa sahihi kuhus kesi inayomkabili yule kijana wa kikenya aitwaye joshua atueleze kama kesi yake nayio ni ya kigaidi kama hii inayomkabili nlwakatare.
. Anatakiwa kuhojiwa kwa lugha ya Kiingereza ili mkanda huo upelekwe kwenye vyombo mbalimbali vya kimataifa kama vile Balozi mbalimbali na hata kwenye mataifa hayo kwa nia yakuichafua chadema kimataifa kuhusiana na hoja ya Ugaidi.
Usipoteze muda na maswali mengi akma hayo.hayo maswli hata kikwete yamemshinda ndo mana alisemaga hajui kwanini sis ni masikini sembuse huyo mganga njaa?huyo muulize baba yake halisi yupo wapi.hilo linmfaa
Sababu nyingine ni usimamizi dhaifu katika sekta ya elimu, pamoja na uhaba wa bajeti, sababu ambazo zimezoeleka na zilikuwa zikijulikana kabla ya tume hiyo kuundwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.