si mzungu,mweusi aliazaliwa ushwahilini haswa,haya mambo ya kizungu tena analeta wakati huu hakuyaleta wakati tupo wachumba maana tumekua pamoja zaidi ya miaka mitano kabla ya kuoana,Penny anafanya kazi ya kawaida na ya kueleweka si ya kuchosha kiasi hicho,ni receptionist kwenye hoteli ya kitalii