US Airways yaanguka New York | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US Airways yaanguka New York

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Jan 16, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160


  US Airways passengers jet imedondoka New York kwenye Hudson River. Habari zinasema kuwa watu wote 150 walio kuwa ndani ya ndege hiyo wameokolewa. FBI wanasema kuanguka kwa ndege hio hakuna uhusiano wowote na ugaidi.

  Imetoka Fox News
   
  Last edited by a moderator: Jan 16, 2009
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160


  Bonyeza Yahoo! Kwa video


  Yahoo!

   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  NEW YORK – A US Airways pilot ditched his disabled jetliner into the frigid Hudson River on Thursday afternoon after a collision with a flock of birds apparently knocked out both engines, but rescuers pulled all 155 people on board into boats as the plane sank, authorities say.

  There were no immediate reports of any serious injuries.

  Federal Aviation Administration spokeswoman Laura Brown said Flight 1549 had just taken off from LaGuardia Airport en route to Charlotte, N.C., when the crash occurred in the river near 48th Street in midtown Manhattan.

  The plane, an Airbus 320, took off at 3:26 p.m. and went down minutes later, Brown said.

  "There were eyewitness reports the plane may have flown into a flock of birds," Brown said. She added, "Right now we don't have any indication this was anything other than an accident."

  Doug Church, spokesman for the National Air Traffic Controllers Union, said that the pilot reported a "double bird strike" about 30 to 45 seconds after takeoff and said he needed to return to LaGuardia.

  The controller instructed the pilot to divert to an airport in Teterboro, N.J., for an emergency landing, Church said.

  The plane was submerged in the icy waters up to the windows when rescuers in Coast Guard vessels and ferry boats arrived, opened the door and pulled passengers in yellow life vests from the aircraft, whose fuselage appeared intact. The plane was sinking in the near-freezing water on one of the coldest days of the year, with the mercury around 20 degrees.

  Witnesses said the plane's pilot appeared to guide the plane down.

  "I see a commercial airliner coming down, looking like it's landing right in the water," said Bob Read, who saw it from his office at the television newsmagazine "Inside Edition." "This looked like a controlled descent."

  Barbara Sambriski, a researcher at The Associated Press, saw the plane go down from the news organization's high-rise office. "I just thought, 'Why is it so low?' And, splash, it hit the water," she said.

  US Airways CEO Doug Parker confirmed that 150 passengers, three flight attendants and two pilots were on board the jetliner.

  Joe Mazzone, a retired Delta Air Lines pilot, said it is not unusual for birds to strike planes. In fact, he said, when planes get ready to take off, if there are birds in the area, the tower will alert the crew.

  "They literally just choke out the engine and it quits," Mazzone said.

  Twenty-seven years ago this week, an Air Florida plane bound for Tampa crashed into the Potomac River after hitting a bridge just after takeoff from Washington National Airport. The crash on Jan. 13, 1982, killed 78 people including four people in their cars on the bridge. Five people on the plane survived.

  On Dec. 20, a Continental Airlines plane veered off a runway and slid into a snowy field at the Denver airport, injuring 38 people. That was the first major crash of a commercial airliner in the United States since Aug. 27, 2006, when 49 people were killed after a Comair jetliner mistakenly took off from the wrong runway in Lexington, Ky.

  Associated Press writers Eileen Sullivan and Michael J. Sniffen in Washington and Harry R. Weber in Atlanta contributed to this report.

   
 4. K

  Kima Member

  #4
  Jan 16, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari ya kusikitisha lakini tunamshukuru mwenyenzi mungu watu wote wapo salama
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Jan 16, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Tunashukuru Mungu hii ndege haikuangukia kwenye magorofa ya Manhattan, UN Building liko very close na ndege ilipo angukia.


   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160


  It is miracle in NYC, tungekuwa tunazungumza mengine nakusahau inaguration for some days. Kama ilivyokuwa MV Bukoba na Mkapa.

  Yahoo!


   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,600
  Trophy Points: 280
  Nampongeza sana Pilot...C. B. "Sully" Sullenberger...kwa kweli ametumia uzoefu wake mkubwa alionao..kuweza...kuepusha janga la maafa la watu hao wote ......hongera sana Pilot.
   
 9. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Du!! huyu pilot amekonga roho za wengi..big up!! ndiyo maana hiyo nchi imeendelea sana. Hawa jamaa wanatimiza majukumu yao kwa bidii na kutumia uwezo wao wote walionao.
  Ninasoma pia habari za Obama anavyopepetana na congress kuhakikisha hela zinatoka ili kufufua uchumi kujenga miundombinu upya kipaumbele kikiwekwa kwenye elimu afya na barabara.
  Sisi tumebaki kufukuzana na wanafunzi wetu wa vyuo vikuu. Kweli maendeleo yatakuja kwa mtindo huu?? Inasikitisha sana.
   
 10. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Heri wenzetu! Ingekuwa hapa Tz ama wote wangeenda na maji au wachahce tu wangeokolewa. Wenzetu wameshajiandaa kukabiliana na mambo ya dharura. Sisi bado tunakabliana na DARUSO, wastaafu wa EAC, machinga, walimu kugoma etc.
   
 11. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  It was real a miracle. Tunamshukuru Mungu, maana watu 153 ni wengi sana humo hata wamatumbi walikuwemo. Ila Cha msingi mimi kinachonijia kichwani, sisi Tanzania tunajifunza nini na matukio kama haya. hivi sasa ni matukio mangapi ya maafa yanatokea nchini mwetu na hakuna cha maana kinachofanyika baada ya hapo. Hivi sasa ni takriban miaka 12 na zaidi imepita tangu tukumbwe na janga la MV Bukoba. Serikali yetu so far imeshachukua hatua gani? Kama tukio hili lingekuwa hapa kwetu (God forbid)tungefanya nin?.Kuna hatua zozote za kuongeza vyombo vya uokoaji majini na hata nchi kavu zimeshachukuliwa?. Tunashukuru kwamba nasikia Kigamboni wamenunuliwa Panton mpya (sijui kama limeshaanza kazi), lakini mara ngapi tumeshuhudia watu pale kigamboni wakinusulika kufa na yale mapantoni machakavu. Tumekodisha Reli kwa Gabacholi, Je serikali yetu inafanya juhudi zozote kuhakikisha hakuna hujuma yoyote inayoweza kutokea kwenye reli hiyo kama ilivyokwisha kutokea miaka kadhaa iliyopi?. Mwaka jana tu, vijana wangapi wamekufa pale Merelani (sijui kama spelling ziko sawa), ile kuopoa maiti tu imechukua siku kadhaa achilia mbali kuokoa maisha ya wahanga . Imefika wakati sasa wakuu wetu wa nchi waanze kufikiria namna ya kuokoa taifa hili dhidi ya majanga kama haya badala ya kuendelea kuagiza mashangingi kila mwaka na baadae kukopeshana kwa bei ya mnadani kariakoo. kwa kweli inatia uchungu. Tusiendelee kutegemea miracles bila sisi wenyewe kuonesha juhudi.MUNGU IBARIKI TANZANIA, TUEPUSHE NA UFISADI, TUEPUSHE NA MAJANGA HAYA
   
 12. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2009
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Salama Wandugu.

  Namshukuru Mungu kuwa hawa wasafiri wamenusurika. Ningependa kugusia kuwa hili suala linahusiana na mjadala wetu wa jana na juzi kuhusu ajali za magari na nini cha kufanywa. Huyu rubani alikuwa well trained, na ana uzoefu na professionalism ya hali ya juu. Tujifunze kuwa watendaji wetu, kama polisi madereva, wazima moto nao wawe na ujuzi na utaalamu wa kazi zao kiasi hiki. Kuridhika na kazi kusihusu mshahara tu kuingiliane na pride ya kuwa kwenye profession.

  Naamini tutafika.
   
 13. Mpandafarasi

  Mpandafarasi Member

  #13
  Jan 16, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana Pilot. Had it been Wabongo hapo, it would be somtning else. Wabongo si unawajua kwa longolongo? Big up sana Kwa Pilot
   
 14. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sasa kwa nini Mungu aliyewanusuru aliruhusu ndege ianguke in the first place? Angeweza kabisa kuepusha hii mishap. I mean, sijui njiwa kuzima engine mbili? Come on now. Alijua atakuja kuwaokoa? Sasa alitaka wadondoke warukwe mioyo ya hofu na kupigwapigwa na baridi tu pale mtoni, for what?

  Haya, hawa wa leo amewanusuru, je waliofariki kwenye ajali ya ndege yeyote ile kabla ya leo, hao vipi, walikuwa na dhambi sana, au?

  Spokespeople wa Mungu wanaopata nae debriefing kwenye maono labda wangetueleza his governing philosophy. Maana his policies and his whole administration haziko transparent kabisa. Aids wake wanatuambia upeo wa binadamu ni mfupi sana kumuelewa, lakini cha ajabu ni kwamba wao wana upeo, ujasiri (au kiburi ) cha kuja kutuelewesha, japo na wao hawamuelewi, maana washasema haeleweki! Na, kama Mungu kaamua kutupa viakili vifupi sana relative to him, anajua kabisa kwamba hatutamuelewa, lakini katupa just enough viakili kujua kwamba kuna maswali ya kujibiwa. Lakini ukiuliza, kufuru!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Lione na wewe. Hivi hujui kuwa shetani wakati mwingine huwa anamzidi nguvu Mungu? Inapotokea ndege inanguka na kuua watu basi ujue shetani kafanya mavituzzz na Mungu kazidiwa nguvu na ujanja. Jana Mungu akampiku shetani....sasa usichokielewa ni kipi?
   
 16. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #16
  Jan 16, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nyani Mungu hazidiwi nguvu na shetani hata siku moja, why God lets bad things happen is a mystery known by him. If man could figure out everything about God, God wouldn't be God now would he? Doubting Tomases will always be there...
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jan 16, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  God is not all that powerful.....
   
 18. M

  Mama JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2009
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Duh, Mungu huyu huyu.....I miss Pundit, where is he?
   
 19. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #19
  Jan 16, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe wasema....
   
 20. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #20
  Jan 16, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Maada ya msingi ilikuwa ipi Kumjadili Mungu ama kujadili tukio hilo na hali halisi ya TZ?....Naona Kuhani umetuhamisha hapo.Turudishe kwenye hoja ya msingi
   
Loading...