Recent content by kim_cymon

  1. kim_cymon

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Mazoea Vyombo vya dora kutoa reports zisizo na uchunguzi wa kina huku zikiwa zimejaa umazoea mwingi. Nimegundua hiki.
  2. kim_cymon

    Dola zote kubwa zilizowahi kujengwa duniani zilijengwa na watawala kama Magufuli

    Naona tusifanye siasa za itikadi Soma chambua elewa afu toa ufafanuzi na hoja zako.. Isiwe kama boko haramu hata umwambiaje hawezi kuacha itikadi ya ukaidi wake lkn hana hoja muhimu. Naomba kuwasilisha.[emoji72]
  3. kim_cymon

    UBER imetua Tanzania, majaribio kuanza Alhamisi

    katika ulimwengu huu wa technolojia; taratibu tuu tutazoea kwakua gharama iko cheep na madereva wengi wameiitikia vizuri! hope itaanza kwa watalii bt na kwa sisi tutaifata tuu siku za usoni!
  4. kim_cymon

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    kuna hawa watu wanajiita inauzwa.com kwa mwenye utaalamu nao anipe taarifa zao kuna kitu nataka kununua kwao lakini sina imani nao!
  5. kim_cymon

    Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    hio ni coz nzuri na ajira zake ni nyingi sanaa kuliko kozi zote ila itategemea uko competent katika sehemu ipi kwa sababu computer eng imekava sehemu nyingi sana ukijua kitu kimoja utasema ajira ngumu so kuwa mtundu afu ujue vitu piga msuli sana cozi hii ni ngumu sanaa! kumbuka engineering ni...
  6. kim_cymon

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    asee wamenichanganya sana sijawaelewa kuandika -1 na 0 mwenye uelewa na apo atoe ufafanuzi mzuri!
Back
Top Bottom