Recent content by Kim Jr3

  1. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Historia naomba msaada

    hii ni moja wapo ya principles za VPT (Versaille Peace Treaty), ambayo ukiichambua kama ilivyo unapata points zilizosaidia kupata uhuru. Kwanza ujue What is self determination, kutoka kwenye definition , then read between the line utapata ni jinsi gani ilivyosaidia. Jishuhurishe ni simpe mno.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

    ipo siku rais atatokea bongo flava
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    821 KJ , waliopita hapo wanajua
  4. K

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupiga hgk alafu ukaenda kusomea sheria university

    unapiga lakini lazima uwe umefaulu English o-level
  5. K

    JamiiForums Tanzania VPN gani nzuri niweze tumia net bure

    ndio kwenye server
  6. K

    JamiiForums Tanzania VPN gani nzuri niweze tumia net bure

    mkuu naomba jinsi ya kuunganisha hii kwenye server address
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa transfer

    Ingia kwenye website ya TCU nenda hadi kwenye admission result search jina lako kama kuna mabadiliko nenda ulipopangiwa ndivyo nilivyo fanya na nimefanya registration
  8. K

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Mimi nmeomba online na nimepata transfer
  9. K

    JamiiForums Tanzania Majina HESLB yaongezwa

    Msaada tafadhali S3721.0055.2009
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Dah nilikuwa nawazia sana registration ila kama ndo hivyo ngoja tuendelee kutafuta hizo pesa zao
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanaosoma masomo ya Sanaa, Kwanini tujutie maamuzi yetu

    Wanafunzi wengi wanaacha masomo ya sayansi si kwa sababu hawapendi hayo masomo ila wengi wao wanatoka shule za kata ambazo hazina miundo mbinu ya kufundishia pia walimu hakuna sasa unategemea nini hapo kama sio kukimbilia masomo ya sanaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    Sawa mkuu ngoja tusubiri..!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    Inachukua muda gani kipata majibu kwa anaefahamu atujulishe maana muda wa registration vyuoni ndio huo umekaribia..!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoenda JKT tu,someni hii na uliza chochote

    Shukrani mkuu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoenda JKT tu,someni hii na uliza chochote

    Kuna hili la traksuits,je zinahusika.?
Back
Top Bottom