Recent content by Kim-Joong

  1. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa mahakama Kisutu, asomewa mashitaka Matano, apata dhamana

    Kwa kifupi hawamuwezi, pigana baba
  2. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Alijua nina mwanamke na mtoto akakubali, sasa ananin'gan'gania

    Ushaharibu mkuu, japo hukupaswa kumuamin kama hashiki mimba. Napia kama hukuwa na mpango nae ungemuacha na bikira yake. Wewe kama mwanaume ulikuwa na tekniki za kumpata, ila nayeye kama mwanamke alikuwa na tekniki za kuwa nawe kimaisha. Fanya jambo moja tena la busara tu, elewana nae kisha...
  3. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere pia alikuwa na vyeti vyenye majina tofauti

    Nahic umetumwa utabadili mawazo ila ume FAIL. Acha maneno weka cheti mezani BASHITE [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  4. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Wanaompinga DC Makonda: Baada ya kweka kambi kijijini : wakosa ushahidi warejea jijini kimya kimya

    Jamani kuonesha vyeti tuu imekuwa kama upanuzi wa reli Au labda vyeti vipo kwa mama kule "CALL ME J" so kama vip tumpe nauli akavichukue.
  5. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Tukutane wote wenye vyeti origino hapa

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Hachewi kuvikopi hvyo vikawa vyake...
  6. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

    Mambo mengine tunapoyezeana muda tuu..... Obama aliambiwa c raia wamarekani, akatoa nyaraka watu wakahakiki wakakubali n raia mwenzao. Magu kauliziwa mshahara wake akautaja hadharani Sasa ndugu BASHITE kuonesha vyeti tuu anashindwa au aseme vimeliwa na mchwa kule "CALL ME...
  7. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Kalenda ya 1987 imejirudia 2017.Angalia hapa matukio

    [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wapoteze baba....
  8. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka Rais alizuia sherehe zisizo na tija

    Alie juu mngoje chini........ nahic nshachoka ila kupanda nako cwez hapo chacha[emoji48][emoji48][emoji48]
  9. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Wizi wa millioni 70: Jinsi ya kumtrack mtu popote alipo na simu yake

    We kweli mdakuzi dadeki zakoooo.......mfollow instagram utampata kiurahic
  10. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

    Me cna shida ya kumhakiki baba, ila baba ndio anamhakiki mwana xo pumzkaaa
  11. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hivi ushasikia zmekamatwa kilo ngapi..??
  12. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

    Alaaniwe wakati kitu kopy right hichooooo....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] punguzeni mapenz ili mkubali ukweli
  13. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Hili lishaisha ndugu we unadhani bado lipo..[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  14. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

    Pata picha mkeo azae mtoto kafanana na x boy wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23] kama nakuona vileee
  15. Kim-Joong

    JamiiForums Tanzania Huu ndio msimamo wa Rais Magufuli juu ya vyeti feki

    Msijeshangaa linaisha kimya kimyaa
Back
Top Bottom