Recent content by Kim-Jong-Un

  1. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania VETA wagundua Dawa: Usipovaa Kofia ngumu Pikipiki haitawaka

    Hongereni wabunifu ..hongereni kina mama Wote.
  2. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Hivi mfumo wa mawasiliano serikalini ukoje? Inaonekana kama hakuna mutual coordination , nilitegemea agizo Kama Hilo kuanza kwa vikao vya ndani vya RCC kwaajili ya mapendekezo, maamuzi na utekelezaji. Sio jambo lenye afya sana kwa maafisa waandaminiz wa serikali kusigana/ kupingana Kali...
  3. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

    Duuu...malkia Elizabeth wapenda lugha yako wanaangamia kwa kukosa maarifa.
  4. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumishi wa Umma: Kuna uhakiki mwingine umeanza tarehe 31Julai na mwisho 5 Agosti. Fanya hima

    Hivi wingi wa neno sekretari ni masekretari....aisee mkurugenzi wa utumishi na utawala are u serious? Haya mambo ni Tz tu.
  5. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Je kama sina safari kwa sasa lakini ni nataka kuwa nayo passport yangu in case kama nikipata safari inakuwa rahisi kwangu kuondoka.
  6. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kulaumu Wazazi kwa kuzaliwa sura mbaya?

    Duuu...hii ni Zaid ya Masoud sura mbaya.
  7. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Nikijamiana naumwa sana tumbo mpaka siwezi kutembea

    Pole sana...vipi mdau alitumia "Vumbi la Kongo?? " Maana hiyo kitu ukigusisha tu kwenye kichwa kitu ikagusana na ngozi basi wewe maji utaita mma aa....
  8. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Magroup ya uaminifu, fursa na coin ni wizi mtupu jihadhari usijiunge !!

    Ahaaaaa.....nimecheka kama mazuri vile, eti ke admin akakutwa ka left kitambo. Yaani Nyumba isiyokuwa na mwenyewe.
  9. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kukamatwa na TAKUKURU Shaffih Dauda ajitoa kugombea Ujumbe TFF

    Heri nusu Shari kuliko Shari kamili
  10. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania DAR: Ajali yaua mwanafunzi Mbezi Beach, Kituo cha Shule

    Assumptions: 1.Ufinyu wa vituo vingi vya dala dala ni tatizo kubwa, inabidi vituo vijengwe kama kile cha mawasiliano (simu 2000). 2.pia dala dala nyingi zinaingia kwa mwendo wa kasi na Fuji nyingi vituoni. 3.pia na sisi abiri tunakaa bila tahadhari vituoni na kugombea magari wakati...
  11. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua
  12. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Jamani mie nataka matoke ya Urais kwa upande wa hapa dar.
  13. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anachepuka

    dalili ya mvua ni mawingu.
  14. Kim-Jong-Un

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne

    huwa sipendi kupeleka demu ghetto kwangu Mara ya kwanza kutokana na sababu za kiintelijensia na kiusalama, pia landlady ambae ni mbibi ni msumbufu sana akiona mgeni mwanamke. nimecheka sana..kwani umenikumbusha somo la history ubugabile wanaokuwa "landlord "VS "landlady".
Back
Top Bottom