Halafu raia huyu huyu anataka CCM iwe Bora
Au viongozi wawe waadirifu
Kama tunataka kuiponya hii nchi lazima tuanze kujiponya sisi. Imagine huyu mtu anaedanganya kwenye Treni tukimpa madaraka atashindwaje kuwa mdanganyifu
Hilo andiko kalitoa Mtandao wa X Kwa mzungu mmoja anaishi UK AMEKUWA akijibizana sana na Chivayo kabla hajafa na alikuwa anamwambia Chivayo siku yako ya kuangamizwa inakuja. Nikipata hiyo link nitakutupia hapa.
Iwe mfano Kwa wapuuzi wote kama wewe,
Jitu liko kwenye nchi ya Zimbabwe Ambayo 80% ya wazimbabwe wanaishi kwenye poverty line. Yeye na serikali yake kutwa kuifisadi Zimbabwe matokeo yake hata team ya forensic ya Zimbabwe walikuwa wanakosa Vifaa vya kuhofadhi minofu yake. Cheki hii picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.