Naendelea kusisitiza asitokee kima yoyote kuniaminisha kwamba ukiwa na elimu unastaarabika na hata matendo yako yanakuwa ya kisomi. Mara kadhaa tumekuwa tukiwananga mapolisi hawana elimu ndio maana hutumia nguvu kuliko...
Mbona huyu daktari ni msomi ila kafanya ufala ambao hata mwanangu wa...
Asitokee kima yoyote kuniambia mapolisi matendo yao huchagizwa na kukosa elimu. Huyu daktari ni msomi je alichofanya kimechagizwa na usomi wake?
Habari njema kwangu ni kusikia huyo mbuzi anapambania uhai wake baada ya kuchezea kipigo kutoka kwa raia ambao tunatii sheria, mamlaka na taaluma za...
Ndugu yangu ambaye ni askari Polisi yupo UN mwaka wa pili sasa akihudumu kama POLICE ADVISOR kwenye maswala kadhaa....
Kazi ambayo inakupa exposure na heshima za kimataifa ni mbaya! Acha kushikiwa akili, mtu akikuchukia na kukudharau kisa kazi yako hana atakachokupunguzia yeye si Mungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.