Recent content by kiluwiluwi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    waheshimiwa sana memba wa jukwaa hili. Nimesumbuliwa kwa muda wa mwaka sasa na fangasi na sijaona dalili za kupona. Zipo karibu na korodani na sasa naona zimeanza kukamata korodani pia. Kwa dar hii wapi naweza pata huduma bora na za uhakika. Ningependelea hosp private. asanteni sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Jamvini

    karibu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hodi ma great thinker.

    karibu sana ndugu yangu.wageni nao wanakaribishana
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa soka kama edo kumwembe ni hatari kwa soka letu....................

    pole sana kwani inaonekana aliiponda timu yako hadi umeamua kumwanzishia thread.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha 'kujiuzulu' kwa Magufuli

    taarifa za kujiuzulu zatolewa na magazeti ya udaku au credible sources?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete apoza mashirika ya dini

    thread ya kishabiki zaidi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania kiluwiluwi naingia bwawani

    nawashukuru wenyeji
  8. K

    JamiiForums Tanzania kiluwiluwi naingia bwawani

    nashukuru sana kwa mwongozo
  9. K

    JamiiForums Tanzania kiluwiluwi naingia bwawani

    shukurani sana mkuu
  10. K

    JamiiForums Tanzania kiluwiluwi naingia bwawani

    asante bwana sangara
  11. K

    JamiiForums Tanzania kiluwiluwi naingia bwawani

    hahahaha...hiki sio kiluwiluwi cha mbu ndugu yangu
  12. K

    JamiiForums Tanzania kiluwiluwi naingia bwawani

    asante bwana chatu dume
  13. K

    JamiiForums Tanzania kiluwiluwi naingia bwawani

    kiluwiluwi naingia bwawani.naombeni ridhaa yenu wenyeji
Back
Top Bottom