Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,171
Nimekua msomaji wa jamiiforums kwa muda mrefu,hasa kwenye jukwaa la siasa na mengineyo pia .Nimejifunza vitu vingi kupitia humu hasa namna ya kuzivumilia hoja zinazo kera na namna ya kuzijibu kiustaarabu.Hope mtanipokea na naamini nitajifunza mengi kutoka kwenu wakuu.