Recent content by kilooo

  1. K

    JamiiForums DODOMA: Mbowe azungumza na waandishi wa habari, asema Makonda hana mamlaka ya kumuita

    Inabidi aende tu vinginevyo vijana watampeleka ..tena wametoka depoo juzii tu.
  2. K

    JamiiForums Hii ni ishara tosha kuwa rais magufuli atakuwa na shida uchaguzi wa mwaka 2020

    Wabunge inabidi wajitambue mapema..watoe tofauti zao na kulinda maslah ya taifa na si sifa ambazo hazna mantiki..vingnevyo adhabu itawahusu wengi2020..ajira hakuna bdo miundo mbinu mibovu lakin wabunge wamekalia sifaa za kusifia badala ya kuunguna ili waismamie serikali.. Bora waige mfano WA...
  3. K

    JamiiForums walimu wa sayansi wanufaika

    Kwelii arts tunasugua benchi
  4. K

    JamiiForums Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali itaajiri walimu 4,000 wa Sayansi na Hisabati hivi karibuni

    Dah..hii movie Kali sana..arts maumivu mwanzo mwisho
  5. K

    JamiiForums Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Shule gani hiyo wanyele hapa Kahama?
  6. K

    JamiiForums MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole ndg kazi ya Mungu haina makosa
  7. K

    JamiiForums Uganda: Watu wachinjwa kinyama na kutelekezwa

    Daaah...hii Kali inanikumbushaa tena enzi za mabutu seseko
  8. K

    JamiiForums Kikwete, Magufuli na mtu huyu wa tatu...

    Fisiem walikuwa na lengo la kuwawezesha wanawake ndo maana walptsha makinda ila kiuhalisia kpnd cha kikwete ndo upinzani ulipata nguvu sana..tuwe wakweli tu.
  9. K

    JamiiForums Ajira Nje ya Nchi: Serikali Yetu Tanzania ina Ndimi Mbili (double standards)?

    Hakika hawa viongozi wetu huwa hawaangalii wanachokizunguza kabsaa kila MTU anatamka anavyojifikiria bla kuangalia side effects zake wanazuia uraia pacha halafu unaambiwa tafta ajra njee na huku bado nchini mmebinya ajira..
  10. K

    JamiiForums Miundombinu Kahama mjini bado changamoto

    Ni aibu Kahama iko vizuri hata uchangiaji WA pato la taifa ila kimiundo mbinu iko nyuma sana .tatzo viongozi ni tatzo halmashauri..na aina ya wabunge ambao huwa tunachangua nao wanachangia kwa uzolotoshaji WA miundo mbinu.
  11. K

    JamiiForums Serikali ingeona busara zaidi katika jambo hili la vyeti kwa watumishi

    Inategemea kama kulikuwa na makubaliano kati yao.
  12. K

    JamiiForums Serikali ingeona busara zaidi katika jambo hili la vyeti kwa watumishi

    Suala la serikali kuhusu watumishi ambao wamebainika na wanaendelea kubainika kuwa watu wawili kutumia cheti kimoja atumbuliwe,nashauri ingekuwa busara zaidi kama wangewaacha tu kwa sababu,wanafanya kazi japo wanatumia cheti kimoja lakini si kazi wanafanya kama kawaida na wanapokea mshahara...
  13. K

    JamiiForums Maigizo ya serikali kuhusu uhakiki wa watumishi hewa, yatakwisha lini?

    Umeelezaa kwa kirefu sana na naamini ujumbe umewafikiaaa binafsi najiskia uchungu sana hadi sasa watu hawajalipwa hata mafao yao kisa uhakiki yaani ni shida tupu.
Back
Top Bottom