Anachotafuta kwako ni kukuua tu. Mshahara wa dhambi ni mauti. Usikubali kurudi Misri(utumwani). Pima afya yako, rejea kwa Mungu tubu na atakuweka huru na kukupatia mke mwema na kukupa amani ya mawazo
Mtoa hoja Mungu wetu si wa michanganyo. Kama mtu amekuwa mwaminifu kwa Mungu hilo suala la mchepuko mstarabu halipo, huo ni uzinzi tu kama ilivyo kahaba/mzinzi yeyote hakuna cha ustarabu, atendaye dhambi ni wa ibilisi
Wale mliotumia neno" mpuuzi" ndiye atafuatilia mnakosea kiswahili. Mpuuzi ni nomino ambayo kitenzi chake ni puuza ama puuzia. Kwa hyo ambao hawatafuatilia vyeti vikitolewa ni wapuuzi maana wamepuuzia jambo lenyewe
Sisi kwetu wapinzani tunawaita vyama rafiki maana jina linaumba, mpinzani anapinga kila kitu hata pale jambo linapohitaji utaifa mtu anatafuta kick. Viva Magufuli viva
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.