Alinitukana matusi makali akaniacha ,Jana ananitafuta ananiambia habari za kuhitaji mtoto

mnasujudia sana pesa mlio wengi kwenye mahusiano,ukishatanguliza maslahi kwenye mapenzi ,hayo mdio madhara yake,0712 utatoa tuu
Siyo wote mkuu, siwezi sujudu pesa hata siku moja tena ya mwanaume labda ninayoitafuta mwenyewe kwa njia halali. Pesa ni chanzo cha dhambi mkuu. Pia kwa mwanamke anayejitambua na kujithamini hawezi fanya huo upuuzi. Bora nionekane mshamba tu kwakweli.

Na nyie wanaume mnasujudu nini hata mtake tigo? Pesa yako inakufanya utende dhambi.
Kubali, kataa, pesa ni chanzo kikubwa cha dhambi usipokuwa na AFYA KIROHO.
 
Siyo wote mkuu, siwezi sujudu pesa hata siku moja tena ya mwanaume labda ninayoitafuta mwenyewe kwa njia halali. Pesa ni chanzo cha dhambi mkuu. Pia kwa mwanamke anayejitambua na kujithamini hawezi fanya huo upuuzi. Bora nionekane mshamba tu kwakweli.

Na nyie wanaume mnasujudu nini hata mtake tigo? Pesa yako inakufanya utende dhambi.
Kubali, kataa, pesa ni chanzo kikubwa cha dhambi usipokuwa na AFYA KIROHO.
ni kweli mkuu
 
Hata mkizawadiwa mkatae muwaache na laana zao, nimesikia uchungu na huruma.

Wazazi tujitahidi sana kulea watoto wetu kwenye misingi ya kumjua Mungu na kuwa na hofu ya Mungu.
Ni kweli kabisa, si kila zawadi ni yakupokea, Mungu aendelee kutupa uthubutu kushinda majaribu.
 
Salama wana MMU
Kuna mabinti wengine ni wajinga sana
Nlikua nadate na binti flani wa miaka 20 hivi,nlimpenda huyu binti kutokana na mambo matamu aliyokua ananipa
Lakini kutokana na rika lake ikawa ni mahusiano ya migogoro ,mara aniache tena kwa matusi mwisho wa siku anarudi tena kwangu
Mimi nliendelea kuwa nae kutokana na utoaji wake wa 0714 so mwisho wa siku nikamwona kama chombo cha starehe tu mapenzi kwake yakaisha
Sasa kuna wakati aliomba hela kwa mzazi wake akamdanganya anaenda kulipa ada chuo na akaniomba nikipigiwa simu na dingi ake nikubali hizo pesa nimepewa Mimi kama mkuu wa chuo
Ile pesa kainunulia simu,babake akaanza kunisumbua kutaka risiti mi nikambadilikia sijapokea hela yoyote toka kwa binti yake amuulize vizuri
Baada ya siku kadhaa binti kaanza kunitukana na kuniambia niachane nae ,mi nikampotezea nikaendelea na mishe zangu ,yapata miezi minne Jana ananitafuta ananiambia nimsamehe manake amezunguka kwa wanaume mbalimbali hajaona mkweli na mwenye mapenzi ya kweli kama Mimi ingawa sikuwa nampa hela nyingi
Akaendelea anataka nimzalishe tu awe na mtoto na ameamua kuacha tabia yake ya kuliwa ndogo ,anataka kuwa mama bora na amebadilika kitabia
Nimeshindwa kumwelewa nini kimemkuta hadi aamue kunifuata tena
Demu ni nzuri ila kutokana na mienendo yake naogopa hata kuwa nae tena karibu ,ana miaka 20 sasa ila anajifanya mtoto wa mjini sana ,sasa sijui ni nn hasa anachokitafuta kwangu ingawa mi nlimshamtoa moyoni na hata mawasiliano yake nlifuataga
Nimfanyaje huyu aache kunizoea tena.??
Anachotafuta kwako ni kukuua tu. Mshahara wa dhambi ni mauti. Usikubali kurudi Misri(utumwani). Pima afya yako, rejea kwa Mungu tubu na atakuweka huru na kukupatia mke mwema na kukupa amani ya mawazo
 
Biblia inasema kulala kinyume cha maumbile ni laana,km uhamin kasome biblia yako kitabu cha mambo ya walawi.

~Tubu kwanza kwa kutumia Damu ya Yesu na ondoa uhalali wa hiyo laana ya kulala na mwanamke kinyume na maumbile ndio uje uombe ushari.
 
Kwa kuwa uliendelea nae kwa sababu ya 0714 na ukimzungumzia unatumia neno 'demu'; basi sio suala la yeye kukufaa au la, bali ni kwamba wewe ndo humfai.
 
Katubu sana hiyo dhambi hajawahi muacha mtu salama ww na hy dada [HASHTAG]#Ole[/HASHTAG] wao wafiraji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom