JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Muziki wa Tanzania
Mkuu kumbuka bongo fleva ni waimbaji na si wanamuziki mwana mziki ni lazima aweze kuimba live, Mziki wa live nimzuri sana una rahayake kama wewe ni mpenzi wa mzuki nadhani utakuwa unanielewa vizuri, kwamfano kuna mwana muziki Saida karoli huyu mama live anaiweza sana sana sana, pia hata barnaba...