Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,051
Sasa wewe kama na wenyewe wapo humu si unampa mwenzio mambo yasio julikana ohoooKuna boda mmoja nilipiga nae stori akaniambia huwa anaenda maeneo ya mbezi beach kwenye nyumba ambayo ipo underground then anakabidhiwa unga anausafirisha kwa boda kwenda moro ambapo akifika anapokelewa kwa ulinzi mzito kwenye nyumba ambayo ipo nje ya mji wa ,moro.........
Sent using Jamii Forums mobile app