Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,149
- 190,639
For real ma nigga!That’s OG spirit Big up kamanda
For real ma nigga!That’s OG spirit Big up kamanda
For real ma nigga!
Realshyt, ma nigga couz! Lazma ufikirie tofauti na wengine at times japo kuna watu hawatanielewa. Thats my M.O!Watu wachache sana waliofikia high level of civilization ndiyo wanauwezo wakufanya maamuzi kama yako
Wananichekeshaga mpaka basi ukiwaona walivyotimutim nywele utadhan katoka kulima kumbe anaogopa tu kujulikana kaja kufanyiwa maombeziKwanza humu kwenye makanisa ya kipentekoste tuna abudu na watu kila dini tupo nao, kila mtu anakuja kwa shida zake, mtu anatoka kwake kama anaenda kariakoo na kichwa gubigubi, kumbe anaenda kukanyaga mafutaya upako .
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Wakorintho. 6:14-18habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo neno nimelisoma sana kwenye bibilia japo sikulielewa vizuri lakini leo nimeelewa2 Wakorintho. 6:14-18
Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.
habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Sana mkuu ..nakutakia kheri..
khaaaa wewe mkaka tutakufata PM 😉😉Yeah mi nikipenda huwa hamna kitu kinaweza ingilia hapo kati zaidi ya kifo!
Am okay Alhamdulillah
Karibu sana mamzkhaaaa wewe mkaka tutakufata PM 😉😉
sasa kama huendi kanisani unategemea nin lazima tu wafilisti ukutane nao..badilikanimesema toka mdogo nilikuwa naabudu huko ila na miaka3 sijawahi kwenda kanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi huko kwenye uislamu na ukristu mbona mbali sana..!!! ULOKOLE NA UKATOLIKI, nayo ni shida sana ingawa wote ni wakristu. Kile kinachopelekea muwe na imani tofauti, ndiyo huwa tatizo kubwa sana.... MLOKOLE NA MKATOLIKI PALE KWENYE SANAMU etc panayumbisha sana.habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananichekeshaga mpaka basi ukiwaona walivyotimutim nywele utadhan katoka kulima kumbe anaogopa tu kujulikana kaja kufanyiwa maombezi
Usifungiwe na nira na asiye amini, halafu ni ujinga wa kiwango ccm mwanaume kubadilisha dini kisa demu. Kuwa na maumuzi thabiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro tafuta wa dini yako.... zaidi ya hapo si ww wala yy... imani zenu zitashuka... na ili ndoa yako iwe na Amani... itabidi ww usiende kanisani na hata yy asiende Msikitini.... hapo ndio changamoto inapokuja..... wote mtapoa kiiamani. Kaoe wa Umani yako👍habarini wakuu katika pilika zangu za maisha nimebahatika kupata mchumba mwenyeji wa pemba muislamu safi,sasa mimi mkiristo yy anataka me nibadilishe dini niende uislamu lakini mimi sitaki nataka yy awe mkiristu anakataa anasema wazazi wake washika dini,yaani me kuwa muislamu siwezi halafu naogopa nikija kumuoa atawachanganya watoto dini kigezo changu awe mkiristu,yy hataki yaani nampenda nabaki na maumivu anataka tuachane kisa dini sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app