Recent content by Killmonger

  1. Killmonger

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hii ni hatari ki afya.
  2. Killmonger

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Mida ya wanga imesha isha?
  3. Killmonger

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mume miaka 40-75.

    Siyo kuanzia miaka 40 tena ? Hiyo 42 vipi?
  4. Killmonger

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mabaka haya kwenye korodani dawa yake nini?

    Nimecheka comments za watu daah… mkuu angalia menu yako vizuri. Hujala vyakula sahihi hasa vyenye mafuta sahihi… pia angalia maji unayotumia… hii hali inatokea sana gerezani na boarding school .
  5. Killmonger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    😂😂😂
  6. Killmonger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

    Hahahahhaha daahh 🙌🏿🙌🏿
  7. Killmonger

    JamiiForums Tanzania Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Report kutoka global inasema watu wanne walifariku lakini hadi naondoka Korogwe vifo vilikua vitano ( dereva na konda wakiwepo) .
  8. Killmonger

    JamiiForums Tanzania Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Nipo hapa korogwe nitajaribu kuulizia.
  9. Killmonger

    JamiiForums Tanzania Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Nimeikuta hiyo ajali nikiwa bus la Klm kutokea Dsm asee ni ajali mbaya.
  10. Killmonger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Yanga yamsajili Mudathir Yahya

    Daaah… nimesoma uzi huu ni fundisho kabisa , mwanaume yeyote hapasi kudharauliwa, utapata aibu kama hii.
  11. Killmonger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga icheze kesho na Simba keshokutwa?

    Sio hivyo tu… wameisogeza pia mechi ya Simba V Azam.
Back
Top Bottom