Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Haya ndo matokeo yetu jana.
Screenshot_20250301_071301_Instagram.jpg
 
Njoo tupeane update watu kwanini Wana ingia na magari mengi usiku?

Na kwanini watu Wana zuia wenzao kufanya mazoezi ya mwisho?

Kwanini TFF inazitetea sana izi team?
 
Mbona Makolo wanalia sana kuzuiliwa kuingia uwanjani usiku kwani walikuwa tafsiri gani? Walishindwa nini kwenda kufanya mazoezi mchana?
 
Yanga mjipange kwani kwa taarifa nlizonazo Simba wanaweza kuiongoza TFF kwa muda mrefu, Karia kashabadilisha katiba na ana mpango wa kukaa mda mrefu hapo TFF! Kwani kajiwekea mihula ya kugombea 3 upya! Na kwenye vyama vya mikoni kaweka watu wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom