Recent content by Killing machine

  1. Killing machine

    JamiiForums Tanzania hakuna kitu kinaitwa laana,Ona hizi fix.

    Kinywa huunda neno Kisha hulitoa baada ya kutoka neno hujiumba kuwa tendo Lejea mwanzo Kila kitu kiliumbwa kwa neno MAneno huumba mkuu
  2. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu hajaonekana Kizimkazi Festival, ziara zake nazo zimeyeyuka, nini kinaendelea?

    Hivi waziri mkuu wetu ni Nani naona uzee Sasa unani zidi nguvu
  3. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu ni chakula cha anayeitwa Mungu?

    Habari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani? Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake. Je umewai jiuliza ni ipi Faida aipatayo mfugaji wa Hawa viumbe wanao itwa bin Adam/ mimi na wewe ...
  4. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuchukiwa na mtu bila sababu..?

    Ipo na hutokea japo kuna kuwa na sababu usizo zijua ukiitafuta utazikuta tu Inaweza kuwa chanzo ni mapenzi,biashara, nk
  5. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya 7/7: Nani anaenda kuandamana (?)

    1)Kuna Amani 2)kuna uhuru hivyo vitu utaviona umhimu wake sehemu mbili tu 1)ukiwa jera 2)ukiwa inchi ya watu na huna passport Wasomalia,Sudanese,Congo wanLijua vizuri sana Hili Tusisahau jambo moja mfaransa kasogea hapa upenuni kenya west kafukuzwa ananjaa baraa
  6. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kufuma watu wakikuteta! je ulichukua uamuzi gani?

    Nasalimia napita
  7. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Je, utakubali kuishi maisha yako haya haya tena na tena milele bila kubadilisha kitu?

    Staking kabisa hata kuinusa Jana yangu
  8. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu, hili linahitaji ufafanuzi zaidi

    Muisram kulumbana na mkristo au mkristo kulumbana na muisramu kisa dini zao Haya Yana paswa kuwa mambo ya kale sana. Ni ujinga na ,utoto, Acha miungu izi piganie dini zake yenyewe
  9. Killing machine

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwanza maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku wa manane au mchana. Tunashindwa kuhifadhi maji ya wiki nzima

    Inashangaza na it's shangaza daima kwa jiji Kama mwanza kukosa maji na huku Lina maji yanayo ilisha misri
  10. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Iran imeshinda Vita lakini Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya Babaake. Inakupa ujumbe gani?

    Kishinda Vita ni pamoja na kuepuka madhara ya adui dhidi yako
  11. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Betting yadhibitiwe

    Yana ongeza uvivu na ugumu wa maisha ikiwezekana yafutwe kabisa
  12. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Tundu Lissu utaleta faida au madhara kwa jamii?

    Faida ni mdogo kuliko madhara ambayo Yana weza kuwa na faida kubwa mbeleni lakini huku yakiwa acha watu na vidonda visivyo futika mpaka vifo vyao
  13. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Tundu Lissu utaleta faida au madhara kwa jamii?

    Faida ni mdogo kuliko madhara ambayo Yana weza kuwa na faida kubwa mbeleni lakini huku yakiwa acha watu na vidonda visivyo futika mpaka vifo vyao
Back
Top Bottom