Recent content by Kilityme

  1. K

    JamiiForums Tanzania Starring ya gari kuwa ngumu kukata kona.

    Wewe uzi mzima kazi yako kukosoa tu, ushauri wako uko wapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Starring ya gari kuwa ngumu kukata kona.

    Power starring imekufa nenda kafanye matengenezo
  3. K

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    Mhe. Rais John Pombe Magufuli amemteua Mama Anna Mghwira kutoka chama cha ACT Wazalendo kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akichukua nafasi ya Meck Sadick aliyejiuzuru. SOURCE: Ikulu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Ipi njia rahisi; Rais kupeleka mswada bungeni au Lisu/Bashe kupeleka mswada Bungeni?? Rais ana back up ya wabunge wengi wa chama chake, Je Lisu anayo hiyo back up???
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Mkuu hata serikali inaweza kuleta mswada wa kubadili hizi sheria mbovu bungeni, kama Rais anayo nia njema kweli kwanini asipeleke muswada Bungeni ili uungwe mkono na wabunge wa chama chake ambao ni wengi kuliko kusubiri wakina Lisu walete huo mswada?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Hivi unafahamu muswada wowote ili uwe sheria lazima Rais ausaini kwanza? Sasa kama Rais hana nia wala mwelekeo wa kudeal na sheria mbovu kwanza za madini unategemea atasaini hizo bills???
  7. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM yajibu mapigo ya Lowassa

    Sasa hapa amejibu mapigo au amepigia mstari hoja za Mzee Edo kuhusu uminywaji wa demokrasia?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kuivunja TISS sasa!

    Mkuu TISS sio kama bodi ya korosho kule lindi useme unaweza kuivunja tu anytime...utatengeneza tatizo zaidi ya hili....solution Bunge limuwajibishe sizonje na vibaraka wake tu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Umekulupuka = Umekurupuka..... kilaza wewe kwani hujui maana ya breaking news?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea AK na ANC pia yatafika Tanzania yetu?

    Kwanza acha uongo wako, DA sio chama cha wazungu, kama kingekuwa ni chama cha wazungu kisingeongozwa na Mmusi Maimane ambaye ni mweusi pure.....Fa fa fa fa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni atoa amri ya kuzuia magari yasipaki Mwenge

    Ndio tabu ya kuwapa madaraka watu washamba washamba....nchi inaongozwa kishambashamba
  12. K

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais wakati wa kumsindikiza PM wa Ethiopia ni "aibu" kiitifaki, wahusika msaidieni

    Anapendaga mafolowaziii nyomi atensheniii...kwaiyo hayo mambo ya protocal na wageni wenu not to that extent
  13. K

    JamiiForums Tanzania Xplasters, Nini dhambi kwa mwenye dhiki?

    Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009....
Back
Top Bottom