huyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahauKuna rapa kutoka Xplastaz ivi karibuni alipafomu kwenye tuzo za BET ile sehemu ya freestyle battle,simpati jina..huwezi amini hawa jamaa wanafahamika nje zaidi ya bongo.
Aliyeperform BET alikuwa GSan na wakati huo Father Nelly alikuwa ameshafarikihuyo ndo faza nel ilikuwa cyber ya BET mwaka nimesahau
KAMA SIOGOPI MAJINI VIPI ITAKUWA SNIPER,LUGHA YA MAMA KAMA G-SAN KWA CYPHER BET USILETE DRAMA VIVA MAARIFA.Hii hapa Gsam alikuwa kwenye Bet hip hop awards cypher 2009....
Leo nimeamini maneno hayaDar imefanywa ipende kile wanyonyaji wanapenda! Hawataki watu wenye misimamo mikali ili wawatumie! Fikiria mtu kama Dogo Hashim anapotea!
But hashim dogo is doing good naona aliamua kujiweka pembeni na mambo ya mzikiDar imefanywa ipende kile wanyonyaji wanapenda! Hawataki watu wenye misimamo mikali ili wawatumie! Fikiria mtu kama Dogo Hashim anapotea!
Rip aiseRip father nelly