Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nchini AK kama ilivyo Tanzania yetu Chama cha ANC kimejikita mizizi mirefu sana kiasi kwamba ni karibia haiwezekani kwa Chama kingine cha Siasa kushinda Uchaguzi au hata tu kuongoza Bunge!
Sasa kwa kulijua hili vyama vya upinzani nchini AK vikiongozwa na Chama cha Wazungu DA pamoja na Economic freedom fighters kilichoanzishwa Julius Malima, mwanzoni alikuwa ni Kiongozi Mkuu wa ANC youth league ambayo ni kama UVCCM ya kwetu akatoka na kuanzisha Chama chake!
Kwa kumbukumbu tu ni kwamba ANC Bungeni ina viti 249, DA viti 89 na EFF viti 25, unaweza kuona mfanano na Tanzania yetu kwa kiasi fulani hapo!
Sasa walichoamua upinzani wa AK yaani DA na EFF ni kulianzisha, kuanzisha fujo ndani na nje ya Bunge, hivi karibuni walianzisha fujo ambapo zilifanya Raisi wa AK ashindwe kuongea Bungeni hali iliyopelekea Jeshi la AK kuingilia kati, na lengo lao hasa Upinzani ni kutengeneza mazingira ambayo yatailazimu Serikali ya AK inayoongozwa na J.Zuma kutumia nguvu ili kulinda amani, na kama hili likitokea ina maana kuna watu wataumizwa na wengine labda kupoteza maisha hali itayaoipelekea Mahakama ya Kizungu ya ICC kumshitaki Raisi wa AK, ikumbukwe kwamba AK imeshindwa kujitoa ICC baada ya Wazungu kugoma na sasa tayari ombi la kujitoa limeshaondolewa!
Hivyo kwangu najaribu kufananisha kwa kiasi fulani na Siasa za hapa nyumbani kwani CCM is too strong kiasi kwamba kwa kura hakuna jinsi ambavyo Upinzani unaweza kuishinda CCM achilia mbali hata kuikaribia tu, sasa Upinzani wana options zipi nyingine kama siyo Ugaidi?
Tumeashaanza kuona dalili hapa za watu kujiteka au kufanya makosa kwa makusudi ili wakamatwe na Askari wetu na kuzunguka Dunia nzima kusema Serikali yetu inaua na kukamata Upinzani yote hii lengo lake ni lile lile kama la Upinzani wa AK, kutengeneza anarchy ili waweze kuingia madarakani kwa mlango wa nyuma ...